Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ulichosema ni sahihi kabisa. Ukiwa na uongozi wenye maono na kujielewa ni rahisi kufanya vizuri kwenye hiyo field uliyopo na sio football peke yake. Unanikumbusha Chelsea yangu chini ya chairman wake Bruce Buck huyu jamaa amejitahidi sana kuiongoza Chelsea kutawala mpira wa uingereza na ulaya kwa vipindi kadhaa kabla hawajaingia matapeli wa kimarekani sasa hii timu inaonekana kama midtable.
Mijamaa inaonekana haishauriki kwa chochote na ukiwa na kiherehere unatoka kabisa. Uongoxi mbovu halafu hauna maono kabisa zaidi tu wana idea
Mijamaa inaonekana haishauriki kwa chochote na ukiwa na kiherehere unatoka kabisa. Uongoxi mbovu halafu hauna maono kabisa zaidi tu wana idea