Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Ila ni kweli Master Jay hakukosea. Kiba ana kipaji cha kuimba zaidi ya boss wako Diamond hapo ofisini kwenu wcb.
 
Bado inachekesha[emoji23]
Music production ya sasa imekua rahisi zaidi, kila kitu kimekua autamated and incorporated into user friendly softwares.
Sahv wanafanya sampling sampling
Copy copy nyingi

Ova
 
Alafu hao wenzao siyo kama walilala wakamka wakawa maproducer
Wale walisomea kabisa....

Ova
 
Master jay kapiga kwenye mshono, Chawa wa Domokayaa wanapovukwa na kurukwa akiliiii.

Bado hamjasemaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chawa mna kazi sana, kisa kasema Kiba anajua kuimba zaidi ya huyo bwana enu tayari imekuwa kesi [emoji3]
Yaan wamesha wehukwaaa tayariii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila ni kweli Master Jay hakukosea. Kiba ana kipaji cha kuimba zaidi ya boss wako Diamond hapo ofisini kwenu wcb.
Hawataki kukubalii ukweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maproduza waliyotengeneza mziki ya zamani walitengeneza kwa kiwango cha juu ndomana miziki yao inaishi
Mpaka leo

Ova
 
Usilinganishe kizazi cha amapiano tena mliocopy and paste pale south africa na kizazi cha bongo fleva ya kina Mr.Ebbo
 
Master jay beats zake nyepesi sana alafu hujui muziki wewe kabisa unaongea vitu gani beats za kwaya ata mtoto wa darasa la kwanza anapiga ile ni kwaya inaenda na watu wake usiwe mbumbumbu ficha ujinga
Mtoto wa darasa la ngapi? Umerogwa wewe sio bure, unazani akina Master Jay wanategemea FL studio na Cubase Kama maproduza wenu uchwara
 
Hao wasanii aliowarubuni kwa studio time ni Shaa pekee au kuna mwingine!? Shaa si ndo anaishi naye mpaka sasa? Chuki ikizidi huondoa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…