Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

Embu mpe burna boy heshima yake kuanzia kwenye utunzi,mziki mzuri , performance kwenye stage hakuna wakumfikia sasahivi hapa africa
Huyu Burna boy ni balaa kwa sasa kwanza anajiita giant yani mkubwa anashow yake mwezi sita netherland uwanja wa mpira tayari ticket zimeshaisha tiketi moja ni laki mbili
 
BurNa Boy ni complete package. Kwa sasa hakuna kama yeye kwa stage performance.
 
Dah ni hatarii, mtu siku ya 1 ana streams 10m audio Mack, wakati wasanii wetu miaka 2 wanna streams 20m
Unajua population ya WaNaija inacheza kwenye million 200, hapo hujazungumzia Diaspora waliotapakaa duniani kote na influence waliyonayo kwa watu wa jamii nyingine wenye mahusiano nao. Huwezi kuwalaumu wasanii wetu, at least wameonesha njia kwa Afrika Mashariki yetu.
 
Kuna mwamba anaitwa Patoranking huyu mwamba Huwa namkubali sana.Ila nyota ni kitu kingine make anajuwa sana ila ndo hivo.
Haswaaaah Patoranking hana nyotaa, ila nyimbo zake ni kaliii mnoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…