Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #61
Kuna Ile kitu ya bwana mdogo aliyo shirikishwa na Ali kiba ni 🔥🔥, sema ma hit anayo.Jamaa ni moto ana flow flan kama Jamaican yaan anakuja halafu anapotea unyama kwenye wimbo alioshirikiswha na Simi ebwana weeeeee.
Well said, yaani ukiwa nazo kiasi basi boresha mifereji iwe imara💪💪Sijui kwann pesa siku zote huenda kwa mwenye pesa. Nadhan sababu ni simple tuu.
Pambana kutengeneza mfumo wa pesa hapo pesa itakufuata yenyewe..usitumie nguvu kutafuta pesa kama pesa maana hutazipata na ukizipata bado utatakiwa kuzitafuta tena
Huyu Tatizo lake kubwa NyotaKuna mwamba anaitwa Patoranking huyu mwamba Huwa namkubali sana.Ila nyota ni kitu kingine make anajuwa sana ila ndo hivo.
🤣🤣🤣🤣wewe una mapenz binafsi kwa DavidBurna boy ni mkali ila kwa obo atasubiri
Bro nilikuwa Sina mpangi wa kusikiliza album ya davido, ila baada ya kuona inavyo sifiwa. Nikaona ngoja nika upime mzigoo ni 🔥🔥🤣🤣🤣🤣wewe una mapenz binafsi kwa David
Nitausikiliza zaidi then nitarud..Bro nilikuwa Sina mpangi wa kusikiliza album ya davido, ila baada ya kuona inavyo sifiwa. Nikaona ngoja nika upime mzigoo ni 🔥🔥
Kasikilize feel, no competition ft asake 🔥🔥Nitausikiliza zaidi then nitarud..
Babu shkamooo..Mimi kwa upande wangu hawa kizazi kipya siwaelewi. Koffi Olomide atabakia kuwa the best in Africa
Rema ana ngoma mpya inaitwa Holiday..naisikiliza kila muda.Japo davido ametangulia sijui kwann naamnini madogo kama rema fireboy wanajua zaidi yake [emoji3]
Marahaba mjukuu.Babu shkamooo..
Kwa style hii ngozi nyeusi, tuna safari nzito kuelekea kwenye mafanikioAll records cames after a sacrifice made to his daughter god see you and know your destination don't let short term pleasure to ruin your long term life.
Aiseee watu wanavyoongea hata hawaogopi maan ni maneno mazito sanaKwa style hii ngozi nyeusi, tuna safari nzito kuelekea kwenye mafanikio
Jitu linaongea as if lenyewe ndo liganga, au ndo mizimu iliyoomba kafara🤔🤔Aiseee watu wanavyoongea hata hawaogopi maan ni maneno mazito sana