Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

Truth be told the album aint all that just basic... ngoma kali ni over dem na for the road tena kabebwa na beats....ata album ya marioo kali kuliko hii bas tu jamaa tagi kubwa
 
All records cames after a sacrifice made to his daughter god see you and know your destination don't let short term pleasure to ruin your long term life.
His daughter?[emoji848][emoji848]
 
Truth be told the album aint all that just basic... ngoma kali ni over dem na for the road tena kabebwa na beats....ata album ya marioo kali kuliko hii bas tu jamaa tagi kubwa
Mkuubtupungize kimuhe muhe, album ni Kali kuanzia lyrics mpaka beat. ๐Ÿ‘‰ Kasikilize feel, away, no competition na over Dem no ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Msanii bora wa kusini mwa jangwa la sahara ama Africa? Saad Lamjared yupo vizuri zaidi, jamaa wa Morocco nyimbo zake zinafika views Bilioni.
 
Msanii bora wa kusini mwa jangwa la sahara ama Africa? Saad Lamjared yupo vizuri zaidi, jamaa wa Morocco nyimbo zake zinafika views Bilioni.
Mkuu kafanya Nini ??, Davido performed at the world cup, burna boy will perform at the uefa. Vipi kuhusu huyoo๐Ÿค”๐Ÿ˜Ž
 
Mkuu kafanya Nini ??, Davido performed at the world cup, burna boy will perform at the uefa. Vipi kuhusu huyoo๐Ÿค”๐Ÿ˜Ž
Sidhani ku perform World cup ni issue hasa kama Mwanamuziki yupo Established. Kuna wa puuzi kibao wame perform pale Qatar ukitoa umalaya hawana Talent yoyote.

Nimekupa mfano jamaa YouTube tu nyimbo anayo iliovuka views bilioni 1, nyimbo Nyingi za Africa zina struggle kufika milioni 100 ila yeye kawaida sana kwake.

Nenda Wikipedia angalia Tuzo zake za kumwaga, Africa na Nje ya Africa.
 
 
MI nakupa Tuzo za Level Za Dunia we unaweka za Nigeria kweli? Saad Ana Tuzo za MTV Africa na Europe, Hapa, Africa music Awards, Apple Music Awards etc.

Ukiangalia hapo Davido views hazifiki hata milioni 100, Saad hizo milioni kadhaa anafikisha in minutes, Ana nyimbo ina Views Bilioni sijui unaelewa hii level?

Na sio Saad tu hata Amr Diab wa Misri yupo level nyengine kidunia kwa wasanii wa Africa maana nyimbo zake zianingia hadi Billiboard, Diab ameingia Billiboard Mara 6,

Pia mwengine Whizkid amefanya vizuri sana Billiboard.
 
Timeless album by davido has got 100m streams in 17 days only on boom play platform. Don't forget he got more than 45m in Spotify
 
Timeless album by davido has got 100m streams in 17 days only on boom play platform. Don't forget he got more than 45m in SpotifyView attachment 2592530
Tumia hio spotifty, Nyimbo maarufu zaidi ya Davido ni Unavailable in streams 6.5m wakati Ensay ya Saad ina stream Milioni 33 nyimbo moja tu hio. Davido hana hata nyimbo moja yenye stream milioni 10 spotify wakati nyimbo zote maarufu za saad ni Milioni zaidi ya 10.

Na Boomplay ni App ya Nigeria kwanini unaieka hapa?
 
Acha kujichekesha boomplay ni app ya wapi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜, halafu kuhusu Nyimbo zenye streams nyingi mbona ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‰
๐Ÿ‘‰Fall - 80 m+ streams on Spotify
๐Ÿ‘‰blow my mind- 50m+
๐Ÿ‘‰if - 50m +
๐Ÿ‘‰risky 25m+
baba-mwajuma tuendelee au
๐Ÿ‘‰ Don't forget album Ina siku 17 tu
 
Boomplay ni app ya Nigeria imetengengenezwa na Tecno pale Lagos ndo makao makuu, watumiaji wake wengi ni wa Nigeria.


Hio ni post ya zamani kidogo ila itakupa Idea

Huyu Davido Total views YouTube kwenye Vevo yake

Hio career yake yote Davido nyimbo zote toka aanze mziki ni bilioni 1.1

Hii nyimbo moja tu ya Saad

Nyimbo ina 1B views.

Ina maana nyimbo moja tu ya Saad imeangaliwa Sawa na Nyimbo zote toka Career ya Davido ianze, huoni mkuu hawafananishiki.

Saad anatambulika kabisa na Guiness World record kwa views zake.
 
Mkuu hebu angalia muziki wa ngozi nyeusi ulivyo struggle kuendana international. Na Sasa unavyo kubalika.
๐Ÿ‘‰Huyo Saad huko kwao ni millions of people, so support ni lazima.
๐Ÿ‘‰Amekuwa recognized kwa kipi??, So hata waimba kaswida wa huko wanna pata 1b views ๐Ÿ˜๐Ÿ˜€
๐Ÿ‘‰Hebu taja one song, aliyo mshirikisha international artist.
๐Ÿ‘‰Ana fanya mziki wa aina ipi, davido kamuandikia Hadi ngoma Chris's brown. Na Chris's alisema wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ