Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi.
Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu .
Kuna mapenzi mengine baina ya mfanyakazi na mfanyakazi, mfanyakazi na mkuu wa kitengo chake.
Kitendo cha mwanamke kukaa ofisni na mwanaume ambaye si mune wake masaa zaidi ya 8 hakina afya. Kuna binti mmoja katoka kwenye honey money tu akataka anitunuku.
Kwa ujumla sioni umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi.
Hakuna umuhimu wowote.
Watoto wengi wa wanawake wanaofanya kazi si wa waume zao. Kama unabisha kapime DNA. Sura za watoto wengi zimegoma kulandana na baba zao.
Wanawake wafanyakazi wana tamaa kubwa sana ya fedha ukilinganisha na wamama wa nyumbani.