Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mambo ya kujifanya tunajua kuliko MUNGU haya ndio majibu yakeWanaume tu wabinafsi sana, hamuwaoni wanawake kama binadamu kama ninyi, wewe ukiambiwa ukae ndani utaletewa kila kitu na mkeo utakubali??
Kila mtu anapenda uhuru, afanye kazi aingize kipato na sio kua ombaomba, mume ukikata moto au ukisafiri ama kuyumba kiuchumi ndo familia imekwisha ivo.
Kama kuna mahali unahisi hauko vizuri basi kwasababu hiyo mkeo atakucheat basi rekebisha ili uondoe uoga.