Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

Mambo ya kujifanya tunajua kuliko MUNGU haya ndio majibu yake
 
Ah wee unapanic kisa mkeo kuliwa huo ni umama....mwanaume wa kweli amamwambia bby nipe basi style uliyompa huyo jamaa alafu tumkaribishe basi chumba I kwetu so u enjoy both of us at once
Sasa Naelewa kwanini Huyu wa kwangu alikuwa na karibu sana padri
Kuna Boss mmoja mhaya anatembeza rungu kwa wafanyakazi wa kike,kabaki kidogo amalize wanawake ofisi nzima.

Wanawake wa maofisini hawafai,mkiona vijana hawapapatiki na habari ya kuoa siku hizi msijiulize saana
 
Mzee huwezi mchunga mtu mzima, si ajabu hujamkuta bikra, umemuoa akiwa na labda 24 yrs, kamaliza chuo tayari halafu wewe uanze kumchunga , utafeli.

Mtu mzima huyo, akiamua kukucheat anakucheat tu. Wewe mwanao wa kike unampeleka shule?? Kama ndio ni Kwanini??
Unamgharamia hadi chuo huko ukitegemea nini ilhali anaenda kua mke wa kukaa ndani?? Si aishie level ya chini tu uanze kumfunza mambo ya ndoa na kupika na kulea...

Wivu wa kijinga na ubinafsi tu.
 
Unaoaje mwanamke ambae ameolewa na serikali ama taasisi
Serikali inampatia pesa za matumizi,pesa za nguo,chakula na kadhalika
Vitu ambavyo ulipaswa uvifanye wewe
Haijalishi huna pesa
Kazi inakupangia muda wakuwa na mkeo.
Mwanamke ofisi yake ni nyumbani na jikoni na watoto.
Izo zinamtosha sana kiasi cha kumuweka bize vyakutosha.
Anakaa anamuwaza mmewake
Sio anakaa anawaza bosi,na mafaili nyumba inakaa na housegirl, kiburi juu
Wanaume waliuza haki ya uzaliwa wa kwanza
Usasa ni ibilisi
Mungu alishaweka utaratibu unaofaa

Wapemba wanaonekana wazembe wazembe
Ila wanaakili kubwa juu ya mwanamke kuliko wakristo wengii wanaojifanya wamesoma na hawamjui mke vizuri.
Ni nadra kusikia ushenzi na uchafu jamii za namna hio
Upumbavu wachini kabisa wamwanaume ni akili kubwa mno kwa mwanamke na unampoteza mwanamke vizuri mno
Sasa mkeo yupo kwenye kamati sijui ya nini,mara safari kikazi,mara bosi leo kanifokea, ww tena umsubiri arudi kazini.

Huyo sio mke
Hamna kuoana kuna kuoa .
 
Umeandika kibinafsi saana. Sasa kuna haja gani ya kumpeleka huyo binti yako shule ili hali baadae kazi yake ni Kua mama wa nyumbani?

Nakuambiaje, kama ni kuliwa ata ukisema awe anajifungia chumbani, wahuni watamtafuna kwenye kitanda chako unacholalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…