Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Ww hunywi pombe lakini huna pesa Wala nini na mkeo anakunyima unyumba unabaki unalia Lia me nala gambe na pesa kias nashika na wife nampiga triple per round...
Mbona mkeo aliniambia una kibamia unamridhisha kweli?
 
hahaha [emoji23]
Nikiwa na stress huwa naagiza fanta kreti zima.
😅😅😅 Tupo pamoja Mkuu.

Hapo ukiagiza wakulungwa wanakukata jicho, Kimoyomoyo wanajisemea huyu mshamba anaagiza soda✍️🤣
 
Kuna watu kwenye comments wanahisi kila mtu ni malaya kama wao.

NB: Na wengi wanaowaza ngono mda wote ni wale wenye mb** kama za watoto wa chekechea na wake zao wanalalamika humu kila siku.
 
hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote. Ngoja Gen Z waje.
 
Kuna siku nilikunywa Fanta nikalewa nikaanza kuwaombea watu waache kunywa pombe
 
Nimesoma kwa kuvutiwa na kichwa cha habari.

Ulipokuja kwenye habari yenyewe umegeuka na kuwa mshauri tu wa matumizi ya pombe!

Utamu wa jambo lolote huwa ni hisia kuliko uhalisia, basi ngoja nisiyachimbe sana.

Endelea kuwashauri vijana waache kujihusisha na ulevi.
 
Mm ni mnywaji na hapa muda huu napambana na hangover kali, mwili hauko ktk hali yake..kiasi cha fedha nilichotumia Kwa Jana ni 150,000 tsh..naungana na mleta mada..pombe ni upuuzi, pombe ni mzigo Kwa mtu binafsi, familia na taifa! Wengi tunakunywa Kwa sbb ya mazoea na addiction tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…