Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Pole sana na hangover..inakeraga balaa
 
Utamu UKo kwenye papuchi mwamba asikwambis mtu
 
Hapa mle anaelekea Arusha tar 7 nasubiria kazigo kanguu nichafuane mpaka YANGA ishinde ndio nakaachia YAAN na lodge kuna TV ndan nagobga huku napata droskotff siiachii mpaka YANGA ishinde

Wanawakeday
 
Ww endelea kunywa energy usipende vtu vtamu sana kunywa kwa kias beer
 
Kunywa fanta, ni tamu.
 
Nahisi huwa ni addiction tu

Maana, Nimewahi kusikia pombe hasa beer huwa ni chungu mtu anapoianza kunywa kwa mara ya kwanza
Mimi ni muislamu sinywi pombe ila siku moja mwaka 2015 nilijaribu kunywa grand malt kwa sababu imeandikwa haina ALCOHOL basi bwana huo uchungu wake nilitaka niimwage ila ikawa naona kama namwaga hela zangu nilizoinunulia tsh 2000 basi nikaimalizia hivyo hivyo kiugumu kama vile nakunywa mwarobaini nikapata somo la kuacha kujaribujaribu vitu nisivyovijua !
Kama grandmalt ni chungu hivyo na jua na bia ni hivyohivyo!.
 
Hahaha.......pole Mkuu


Sasa hiyo ni grandmalt, piga picha ya konyagi itakuwa chungu kiasi gani πŸ€—
 
Pombe haina utamu wowote nawaoneaga huruma wanywa pombe za spirit wanavopata shida kumeza fundi yaani mtu anakunya sura utafikiri anacheza amapiano au anameza kaa la moto.mpaka unajiuliza kashikiwa bundugu au kalazimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…