Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

Mafinga hapo mjini cha mtoto ukitaka balaa ingia ndani huko ndo utakutana na balaa lenyewe .
 

Kama baridi la Sasa liko hivi sijui ilikuwaje Miaka Kumi na tano iliyopita ร mbayo umeitaja

NI hatari Sana hasa Kwa Kazi kama bodaboda
 
Kuna siku nimetoka DSM nawahi Njombe nikapanda IT nimeshuka Makambako saa 7 usiku ,,,halafu nilitoka na sweta la kibishoo ile siku nilikoma nililala na viatu gesti yaani noma aisee.
 

Pole Sana Mkรปu.
Ukitaka uifaidi ya Mafinga au njombe Njoo Bila tร arifa za huku, alafu ukose hotel au lodge Aiseeh! Utaimba sauti ya tano
 
Pale mafinga ipo Kali sana inavumilika Kuna makete, niliwahi kumsindikiza Odo wangu Shule inaitwa lupalilo huyu mtoto alisoma week tu akaaga mashindano๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hata kidato cha sita wanaoenda Jeshini pale Mafinga Moto unawawakiaga
 
1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.

2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mambomba hayatoi maji.
kwa hiyo mwendo wa kunikishana vikwapa tuu usubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ