feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mafinga hapo mjini cha mtoto ukitaka balaa ingia ndani huko ndo utakutana na balaa lenyewe .Nilishawahi kufika Mafinga tena ilikuwa ni July aisee nilioga siku ya kwanza tu siku zingine 5 sikuoga nilifikia pale Lutheran VTC baridi mnoo kwanza niliposhuka tu kwenye gari nikaitupa ile juice niliyoinunua nikanunua gloves na mzura lakini wapiii mpaka naondoka pale nikaenda kuoga Mbeya mjini, na kuna sehemu kule Mbeya kama unaenda Tunduma panaitwa kwa Mpemba napo ni 🥶