financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Uliomba blanket mkuu😄😄 ulifanikiwa?Mafinga ni habari nyingine Nina experience napo kimsingi usemacho ni kweli kabisa Kuna Uzi wangu humu nilishawahi kuomba msaada wa blanket
Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo
Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi. Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya...www.jamiiforums.com
Kwani hujaenda na wizooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya ilikuwa ni siku yangu ya kwanza sikubeba hata sweta nilikuwa natetemeka kama kinda la ndegeKuna siku nimetoka DSM nawahi Njombe nikapanda IT nimeshuka Makambako saa 7 usiku ,,,halafu nilitoka na sweta la kibishoo ile siku nilikoma nililala na viatu gesti yaani noma aisee.
Serious mkuu1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mambomba hayatoi maji.
Sogea Makambako utaandika uzi wenye paragraph 200 kuhusu bodaboda wa Makambako kitovu cha baridiNimewapa marks 70%.
Mkuu serious hakuna watu wanalala nje...Ogopa Mji ambao hauna walalanje
Makambako sio Njombe aanzie Makambako alafu aelekee Makete ndio atasimulia vizuriUjafika njombe wewe.....
Yaani huko ni hatare tupu
Wewe wa dar nini..?Mwezi wa Saba 2023 milikuwa Makete, aisee ile baridi hapana, nilitakiwa kukaa siku sita ila niliomba nirudi baada ya siku mbili tu
Baridi nyoko kule ulale nje unajipenda au?Mkuu serious hakuna watu wanalala nje...
Kwanini wakati hata mbu hakuna kabisa
Mkuu njombe town pale kuna show yake lakini...Makambako sio Njombe aanzie Makambako alafu aelekee Makete ndio atasimulia vizuri
Kwenye swala la uaminifu Mafinga nawapa 90 hiyo 70 ni ndogo nakumbuka nikiwa nataka usafiri nawapaga magenti wale pesa nawachia na namba yangu ya simu sina hata tiketi lakini gari ikikaribia wananipigia jamaa wale walikua hawana kabisa tamaa ndogo ndogo.Sogea Makambako utaandika uzi wenye paragraph 200 kuhusu bodaboda wa Makambako kitovu cha baridi
Njombe town baridi ya kawaida sana,makambako baridi yake inapuliza na upepo noma sana aisee...Mkuu njombe town pale kuna show yake lakini...
Huko makete ndo kitovu cha baridi tz hapa aise
Sasa kuna siku nimeshuka pale mafinga...Baridi nyoko kule ulale nje unajipenda au?
Mkuu njombe kuna bardi wewe..Njombe town baridi ya kawaida sana,makambako baridi yake inapuliza na upepo noma sana aisee...
Uliona km anakuletea ubishoo 😂Sasa kuna siku nimeshuka pale mafinga...
Nikasahau begi kwa gari..
Nikachukua boda sasa nakuta boda kavaa elements ina manguo nguo mengi kichwani sikujua bana..
Alipoanza kufukuza gari mkuu weeee weee ile show nikasema kule si pa kuchezea
Unakuta huko vijijini ndani ndani kuna lile nardi la hatari mfano makete au kitulo huko...Umenikumbusha shule ya watoto inaitwa Southern highland,ipo mafinga..halafu bweni kuanzia vidudu.baridi lile hapana..