Dunia hii hakuna Kampuni zozote zile ambazo zina watu wenye diversity kushinda za Kiarabu.
Gusa kampuni yoyote ile unakuta CEO mzungu, ofisa fulani mhindi, Msaidizi wa Colombia, katibu mchina etc.
Mfano kampuni yenu ya Dp world angalia Exec wake hapa
Discover the leadership behind DP World. Meet the experienced DP World board & management team driving global trade and logistics innovation.
www.dpworld.com
Hata Hapa Tanzania Waarabu wengi kampuni zao zina diversity za maana.
Ni mpuuzi tu ndio anafkiri unaweza ukawa successfull level ya MO, ama Bakhresa kwa kuendekeza ubaguzi.
Mambo haya ya ubaguzi yapo huko serikalini ambapo unaweza ukawa mzembe miaka hata 10 hakuna wa kukugusa.