Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Viongozi wetu>>> Ni vile ni ngumu kushtukia kwasababu wana wana ngozi kama yetu, wanaongea kama sisi na kadhalika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✌Khaah 😳 wewe
Sio kosa lako,Anaekojowa na kunya bila kuchamba kama si mnyama ni nini?
Huwa mnanuka kojo lililochacha na mavi yaliyowa ganda, hamjitambui tu.
Sikupingi ni kweliJapokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali.
Ukweli ni kwamba hakuna watu wabaguzi na wenye roho mbaya kama watu kutoka bara la Asia.
Hawa watu wana roho mbaya hasa hasa waarabu na ,wahindi, mpaka Sasa imefikia kipindi wameanza kubagua wenye nchi wenyewe.
Muhindi akiwa supervisor kazini tegemea asilimia kubwa ya wafanyakazi waapo watakuwa wahindi tu.
Na mwaarabu akiwa na kacheo fulani kazini anaweza kukutafutia sababu yeyote akufukuze ili achukuwe wa kwao
Na mzungu akiwa na cheo kazini.
Tegemea wafanyakazi wa mataifa mbali mbali watakuwepo hapo mzungu anachojali nacho kwa mtu ni experiance yake na juudi zake hana haweki utaifa mbele kama hawa wenzetu kutoka asia.
Mzungu ni muelewa sana pia ni mvumilivu hasa hasa wa Italiano na wafaransa hawa watu wana roho nzuri
Kwenye appartement za wahindi ukiona mtu mweusi labda awe na asili ya kwao
kweli kabisa, kosa la huyo asiyejuwa kuchamba na kujitoharisha.Sio kosa lako,
Kuwafananisha kwa lipi?Huwezi fananisha wazungu na waarabu washindi na WACHINA hawa wana roho mbaya sana na ni wabaguzi sana.
Wachunguze vizuri hao Wataliano na Wafaransa walioondoka kwao wakaja kuishi ulipokwenda wewe, utakuta wana asili za Kiarabu. Hilo ni 98%.
Wewe una prejudice zako tu kwa kuwa u kondoo uliyejazwa ujinga ukakujaa.
Usibishe tu wewe bibi. Watu tuna mifano hai ya ubaguzi ya Wahindi na Waarabu. Mimi nina mfano wa Kampuni moja inayomilikiwa na Mhindi. Weusi aliyowaajiri pamoja na kuwa na sifa sawa za kielimu na Wahindi wenzake, anawalipa Weusi posho ndogo kulinganisha na Wahindi.Upuuzi tu huo wa Mitandaoni.
Za kuambiwa changanya na zako.
Waarabu tunaishi nao kabla hatujawa Tanganyika, wengi wajomba zetu, hatujauona huo ujinga mnaousambaza.
Muhindi mmoj anafanya kazi ya Watanzania 10.Usibishe tu wewe bibi. Watu tuna mifano hai ya ubaguzi ya Wahindi na Waarabu. Mimi nina mfano wa Kampuni moja inayomilikiwa na Mhindi. Weusi aliyowaajiri pamoja na kuwa na sifa sawa za kielimu na Wahindi wenzake, anawalipa Weusi posho ndogo kulinganisha na Wahindi.
Jambo la msingi kuelewa ni kwamba wanadamu wote wana tabia za ubinafsi, ikiwemo hii ya ubaguzi- tunazidiana viwango tu. Wengine ni wakaguzi zaidi ya wenzao. Huo ndio ukweli.
Hadi DPW wakufanye mweusi boss utasubiri sana.Kwanini usiwe wewe ndiye boss wao?
Naajiri. Kumbuka hilo.Hadi DPW wakufanye mweusi boss utasubiri sana.
Kuliko wewe?Watu wenye roho mbaya wako kote duniani