Hakuna watu wenye roho mbaya kama watu kutoka Asia

Ni kweli wana roho mbaya bt hawajatufikia sisi waafrika.
 
Mwarabu ujanjawa wake ni mmoja tuu. Anajijua yeye hana akili lakini kabarikiwa mafuta. So weka mzungu mwenye akili maisha ya songe.
Sasa njoo kwa sie watz....akili hatuna baada ya kukubali ukweli wa mambo tumkabidhi mzungu afanye mambo sie tuwe tunagegedana tuu eti tu atunisha misuli kujidai kuendesha mambo. Ujanja kuwahi...mzungu Alisha tuwahi kitambooooo.
 
Wachunguze vizuri hao Wataliano na Wafaransa walioondoka kwao wakaja kuishi ulipokwenda wewe, utakuta wana asili za Kiarabu. Hilo ni 98%.

Wewe una prejudice zako tu kwa kuwa u kondoo uliyejazwa ujinga ukakujaa.
Niliona clip moja waarabu wa Gaza wanagawa chakula cha msaada, alipofika mwafrica tena muislam wakamnyima mgao kwa kumruka na kuendelea kuwapa weupe tu. Hii Ina ukweli asilimia 100. Wahindi hata mishahara wanawalipa kwa ubaguzi hata kama mna sifa sawa wahindi wenzao hulipwa zaidi, kwenye makampuni yao.
 
Upuuzi tu huo wa Mitandaoni.

Za kuambiwa changanya na zako.

Waarabu tunaishi nao kabla hatujawa Tanganyika, wengi wajomba zetu, hatujauona huo ujinga mnaousambaza.
 
Kwani kifungo cha edit kipo kwa kazi gani?

Ukondoo huo.
Mtu akisha kunukuu, ngoma haichenjiki hata uedit.

Na mimi tangu nilipokosea spelling ukanambia shule nilienda kusomea ujinga, nakufuatilia maandishi yako neno kwa neno kuliko unavyodhani.

Ndiyo namwambia yule kakujanjarusha, ilitakiwa upigwe na ma'kusomea ujinga' yako kwanza ndiyo akushitue. Kakosea sana.
 
Naona hata Bakhresa ana kisima cha mafuta nyumbani kwake.
 
Nilishafanya kaz ya Uoperator wa mitambo nchi moja ya kiarabu, alooo jamaa ni wabaguzi halafu ukiwa dini tofauti na wao wanakuona kama mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…