Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
But quote haieditiwi bwana...ipo vilevileUmekosea, ulitakiwa umpige kimya kimya, sasa kakuzidi ujanja keshasahihisha.
Nilipoona ukimkosoa, haraka sana nikakimbilia kwenda kuua nyani kwa kutumia aina yake ya swali, nikakuta hola.
Anaekojowa na kunya bila kuchamba kama si mnyama ni nini?Nilishafanya kaz ya Uoperator wa mitambo nchi moja ya kiarabu, alooo jamaa ni wabaguzi halafu ukiwa dini tofauti na wao wanakuona kama mnyama
Kwake akiedit inabadilika lakini kwenye quote yako haibadiliki sawa.But quote haieditiwi bwana...ipo vilevile
Huko shule mlienda kujifunza ujinga!🤣
Itakuwa huko shule alienda kusomea ujinga.Kweli mganga hajigangi..
Soma ulivyoandika Tena🤣
Ngoma bila. Kulewa tutaichezaje?Kwake akiedit inabadilika lakini kwenye quote yako haibadiliki sawa.
Sasa ukimshitua anaweza kujibaraguza kwa wale ambao walikuwa hawajayasoma makosa yake.
Nd'onikakwambia ulitakiwa umtandike na makusomea ujinga yake wakati ukimsahihisha.
Mi shamwambia kabisa, hata makosa ya panctuation marks lazima ntampiga nalo usoni kudadeki.
Ngoma bila. Kulewa tutaichezaje?Kwake akiedit inabadilika lakini kwenye quote yako haibadiliki sawa.
Sasa ukimshitua anaweza kujibaraguza kwa wale ambao walikuwa hawajayasoma makosa yake.
Nd'onikakwambia ulitakiwa umtandike na makusomea ujinga yake wakati ukimsahihisha.
Mi shamwambia kabisa, hata makosa ya panctuation marks lazima ntampiga nalo usoni kudadeki.
Uzuri sikuwa kondoo.Itakuwa huko shule alienda kusomea ujinga.
Umejuaje kama mimi sio boss wao?😊Kwanini usiwe wewe ndiye boss wao?
🤣🤣🤣Mwarabu ujanjawa wake ni mmoja tuu. Anajijua yeye hana akili lakini kabarikiwa mafuta. So weka mzungu mwenye akili maisha ya songe.
Sasa njoo kwa sie watz....akili hatuna baada ya kukubali ukweli wa mambo tumkabidhi mzungu afanye mambo sie tuwe tunagegedana tuu eti tu atunisha misuli kujidai kuendesha mambo. Ujanja kuwahi...mzungu Alisha tuwahi kitambooooo.
Kama waha na nyie wagogoHawatemani kama wachaga tu
Hili liko wazi mbonaJapokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali.
Ukweli ni kwamba hakuna watu wabaguzi na wenye roho mbaya kama watu kutoka bara la Asia.
Hawa watu wana roho mbaya hasa hasa waarabu na ,wahindi, mpaka Sasa imefikia kipindi wameanza kubagua wenye nchi wenyewe.
Muhindi akiwa supervisor kazini tegemea asilimia kubwa ya wafanyakazi waapo watakuwa wahindi tu.
Na mwaarabu akiwa na kacheo fulani kazini anaweza kukutafutia sababu yeyote akufukuze ili achukuwe wa kwao
Na mzungu akiwa na cheo kazini.
Tegemea wafanyakazi wa mataifa mbali mbali watakuwepo hapo mzungu anachojali nacho kwa mtu ni experiance yake na juudi zake hana haweki utaifa mbele kama hawa wenzetu kutoka asia.
Mzungu ni muelewa sana pia ni mvumilivu hasa hasa wa Italiano na wafaransa hawa watu wana roho nzuri
Kwenye appartement za wahindi ukiona mtu mweusi labda awe na asili ya kwao
kusini hakuna wagogo bwanKama waha na nyie wagogo
Allah ameniwezesha kujiajiri na kuajiri.Umejuaje kama mimi sio boss wao?😊
Kusini au kuzini?kusini hakuna wagogo bwan
Hio ndio akili yenyewe mkuu, hata wazungu na wao kuna vitu wanajua hawaviwezi wanawapa mataifa mengine, ukiangalia mambo ya Tech mengi yanafanywa na jamii za China, Korea, Japan, Taiwan etc ukienda Kazi za Umeneja nyingi wanapewa wahindi ndio MA CEO na Vitengo vingine, WA Iran wamejaa kwenye R&D, Waarabu wanapewa umiliki kama Investors etc.Mwarabu ujanjawa wake ni mmoja tuu. Anajijua yeye hana akili lakini kabarikiwa mafuta. So weka mzungu mwenye akili maisha ya songe.
Sasa njoo kwa sie watz....akili hatuna baada ya kukubali ukweli wa mambo tumkabidhi mzungu afanye mambo sie tuwe tunagegedana tuu eti tu atunisha misuli kujidai kuendesha mambo. Ujanja kuwahi...mzungu Alisha tuwahi kitambooooo.
Ulikuwa nani? Au ngamia?Uzuri sikuwa kondoo.
Khaah 😳 weweKusini au kuzini?
Waarabu wana mila ya kuona mtu mweusi ni mtumwa. Yaani kama mtu anavyosema anatafuta dada wa kazi wao wanasema nimeagiza mtumwa kutoka Afrika. Na pia wana imani kuwa mtumwa ni lazima ateseke na amwogope anayemfanyia kazi. Kuna dada mmoja alikuwa anasema alipokuwa Saudia mke wa tajiri aliyekuwa anamfanyia kazi alikuwa anakwenda chooni anajisaidia halafu anatoka na kumwambia aka-flush. Hebu fikiria mama zima linaweka makimba chooni halafu linakuambia uende ku-flush. Mwarabu na mhindi (japo siyo wote) watajinyenyesha kwako wakati wanaona wanapata kitu. Watu ambao hawana ubaya ni wajapani. Wachina nao wana ka-ubaguzi kwa watu weusi.Waarabu wabaguzi sana mfano mzuri ni hawa dada zetu wanaoteseka Saudia
Huwezi fananisha wazungu na waarabu washindi na WACHINA hawa wana roho mbaya sana na ni wabaguzi sana.Kwa kuwa umezoeshwa uvivu na uzembe ndiyo unawaona hivyo.
Wachapa kazi hao, mzembe lazima uwachukie.
Au umeshajazwa ujinga wa kuwa mzungu ndiyo mungu wako.