Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Halland hata affunge goli afu10 bado atakuwa hayupo katik kiwango cha messi na cr7 hao jamaa ni exeptional achana nao nimemuangalia sana messi kuanzia Television ya taifa TVT akitambulishwa na frankie Rijcard hadi pep jamaa kafny mabalaaa ya kutisha sana halland ni halland ni mfungaji mzuri ila sio kwa messi na ronaldo.
NIMELIA SANA[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nakazia
 
Hivi kweli arsenal unawahesabia kuutwaa ubingwa mwaka huu...? Hawa watabondwa sana huu mwaka
 
Kweli, juzi kati last season Saliba alimuhifadhi kwapani.
 
Alafu kingine Dinho alikuwa mtu anaejua kuuchezea mpira ila sio wa kutegemea sana kwenye timu
 
Alafu kingine Dinho alikuwa mtu anaejua kuuchezea mpira ila sio wa kutegemea sana kwenye timu
Yani yule jamaa kwa football skill alikua vizuri ila kusema kuichezesha timu aaagh wee hajamfikia messi.
Messi akipanda timu inapanda messi akishuka timu inashuka.
Ndio maana hata Barcelona ilikua ukimkaba Messi umeua timu.
Maana mipita itakua haitembei.
 
Messi yupo katika ligi ya peke yake ndio maana ana ballon dor 8
 
Anapocheza messi mnaona utofauti kabisa na wachezaji wengine hata timu ikiwa mbovu.
Fuatilia assist anazotoa intermiami uone balaa lake.
Pale Norway timu ya taifa uki waambia wachague kati ya Messi na Haaland watamchukua Messi wa leo hii
 
mkuu mm nimelia usiku kucha baada ya kuona et cr7 na messi wanalinganishwa na haaland?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…