Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Jamaa alikuwa laana kwa taifa, tushukuru Mungu kwa kumuondoa, yule ni zaidi ya shetan
 
Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.
Unajua Sukuma gang kwanza kubalini kuwa mungu wenu kafa, haya mengine mtayaelewa kwa urahisi
 
Kitovu kinazidi kuzama yule jamaa alikua mbinafsi sana. Watanzania tusirudie makosa Mungu altusaidia akampumzisha kabla hajaleta madhara makubwa.
 
Jiwe alikuwa zaidi ya shetan, anyway Mungu katusaidia kwenye hili
 
Jpm alijitahid sana kufanya ambayo viongozi wengi wa Tanzania walishindwa kufanya,Jamaa alitaka kutuonyesha kwamba tunaweza ila wenye chuki na ubinafsi wakafanya yao....Hiyo inatosha kutupa kumbu kumbu ya huyu Mwamba.
 
Yeye ndiye alikuwa laana kwa taifa
 
Iko haja kwa viongozi wa wilaya kulitolea swala hili ufafanuzi. Na kama kutumika kama stand hakuna tija kwanini pasibadilishiwe matumizi, hakuna uhitaji wa majengo na eneo kwa ajili ya matumizi mengine?
Mzee miradi inaanzishwa kulingana na uhitaji na population ya watu. Jamaa pale chato alikua anajaza mamiradi ambayo hata wananchi hawapo tayari yani ni ile ulafi kwa sababu yupo kwenye nafasi mpaka chato imevimbiwa.. ubinafsi uliopitiliza kwa kiongozi ni mbaya sana.
 
Jiwe alifanya maamuzi ya kijinga sana
 
Mtu mpumbavu ndio huangaika na Visio za mtu alie kwisha kufa. Hii ni dalili huna kitu kipya na alie ondoka anakutisha kila inaponitwa leo. Mtu alie masikini wakufikiri humponda mtu asie kuwa na uwezo wakumjibu...
Punguza makasiriko ndugu maana hili ni jukwaa la siasa.

Jukwaa hili halihitaji hasira
 
Pale mabasi ya mikoa yanapita tu.

Hakuna mabasi makubwa yanayokwenda mikoani yanayoanzia safati hapo Chato ama kumalizia safari .
Nilipita juzi wakati nakwenda Kampala wanachofanya ni kuwatupia wakusanya ushuru tu na basi linafyatuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…