Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Ange renforce kwenye nn?kaacha bus stand 2 Mpya kubwa kuliko hio ya chato(Nyamhongolo na Nyegezi), au ulitaka ajenge stand ya 3 wapi?[emoji1745]
Kaacha rader pale airport, jengo la abiria lilo telekezwa km stand ya chato, soko kubwa linajengwa kwa kusuasua pale town, daraja kubwa Kuliko yote EAT...what else ulitaka afanye?huu sasa ndo tunaita uroho.
Jamaa alikuwa laana kwa taifa, tushukuru Mungu kwa kumuondoa, yule ni zaidi ya shetan
 
Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.
Unajua Sukuma gang kwanza kubalini kuwa mungu wenu kafa, haya mengine mtayaelewa kwa urahisi
 
Kitovu kinazidi kuzama yule jamaa alikua mbinafsi sana. Watanzania tusirudie makosa Mungu altusaidia akampumzisha kabla hajaleta madhara makubwa.
 


Acha porojo mradi aujakamilika kwa sababu serikali aijapeleka hela za kuumalizia na zingine mkandarasi kaanza nazo kazi ajafanya.

Hiyo stand aijawahi kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya mabasi ndio maana ipo ivyo; serikali ya Bi Tozo ndio imeitelekeza mradi sio kwamba auna tija.
Jiwe alikuwa zaidi ya shetan, anyway Mungu katusaidia kwenye hili
 
Jpm alijitahid sana kufanya ambayo viongozi wengi wa Tanzania walishindwa kufanya,Jamaa alitaka kutuonyesha kwamba tunaweza ila wenye chuki na ubinafsi wakafanya yao....Hiyo inatosha kutupa kumbu kumbu ya huyu Mwamba.
 
Jpm alikuwa na lengo zuri sana.alijitahidi kupanua miji .. unaikumbuka iliyokuwa stendi ya zamani Dodoma???asingepambana kujenga nane nane pale ingekuwa je??? Majengo sokoni na barabara zile . nakumbuka vizuri aliahidi kujenga barabara mpya hapa Ihumwa ambayo ingeanzia stesheni hadi barabara kuu ya Dodoma_dar.. lakini nenda kaangalie saa ivi njia ilivyo.msimlalamikie sana kama vile yeye ndiye genius wa bongo
Yeye ndiye alikuwa laana kwa taifa
 
Iko haja kwa viongozi wa wilaya kulitolea swala hili ufafanuzi. Na kama kutumika kama stand hakuna tija kwanini pasibadilishiwe matumizi, hakuna uhitaji wa majengo na eneo kwa ajili ya matumizi mengine?
Mzee miradi inaanzishwa kulingana na uhitaji na population ya watu. Jamaa pale chato alikua anajaza mamiradi ambayo hata wananchi hawapo tayari yani ni ile ulafi kwa sababu yupo kwenye nafasi mpaka chato imevimbiwa.. ubinafsi uliopitiliza kwa kiongozi ni mbaya sana.
 
Umefika Chato lakini mkuu? Unajua magari mangapi yanaanzia safari zake Chato? Unajua magari mangapi yanapita Chato kuelekea Mwanza kutokea Bukoba na kutokea Bukoba kwenda Mwanza?

Hiyo video ni ya stendi ndogo ambayo ukifika saa 11 jioni hakuna mtu wala gari kabisa.
Stendi ya mabasi ndo ilikua inakamilishwa lakini ndo itakuwa hahari kuliko hiyo ya magari madogo. Kumbuka hakuna Basi inayoanza safari yake Chato hivyo stendi ya Mabasi kuna Mabasi yataanza kupita hapo saa tano asubuhi kutokea Mwanza kwenda Bukoba na pia zitapita hapo saa tatu/nne kutokea Bukoba kwenda Mwanza.
Stendi kubwa utashangaa haina watu kabisa.

Wito: Serikali ichukue hatua madhubuti namna ya kutumia hayo majengo ili kuyaokoa na uchakavu kwasababu yatakaa muda mrefu bila kutumika tofauti na hapo SIJUI.
Jiwe alifanya maamuzi ya kijinga sana
 
Mtu mpumbavu ndio huangaika na Visio za mtu alie kwisha kufa. Hii ni dalili huna kitu kipya na alie ondoka anakutisha kila inaponitwa leo. Mtu alie masikini wakufikiri humponda mtu asie kuwa na uwezo wakumjibu...
Punguza makasiriko ndugu maana hili ni jukwaa la siasa.

Jukwaa hili halihitaji hasira
 
Pale mabasi ya mikoa yanapita tu.

Hakuna mabasi makubwa yanayokwenda mikoani yanayoanzia safati hapo Chato ama kumalizia safari .
Nilipita juzi wakati nakwenda Kampala wanachofanya ni kuwatupia wakusanya ushuru tu na basi linafyatuka tu
 
Back
Top Bottom