Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
🤚A big loss to public funds, inataka kufanana na Zaire, Miji ya Mobutu, but this were forecasted earlier
mods tuachie uzi huu ili sisi na viongozi tujifunze jambo, pesa za umma ni lazima ziwe zinapelekwa kwenye strategic places pahala panapo induces biashara kufanyika!
Ange renforce kwenye nn? Kaacha bus stand 2 Mpya kubwa kuliko hio ya chato(Nyamhongolo na Nyegezi), au ulitaka ajenge stand ya 3 wapi?Magufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Ogopa sana mtu mbinafsi hataki mwenzie apate chochote aliionea wivu hata Mwanza.Maghufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.Ogopa sana mtu mbinafsi hataki mwenzie apate chochote aliionea wivu hata Mwanza.
A big loss to public funds, inataka kufanana na Zaire, Miji ya Mobutu, but this were forecasted earlier!
Tuwekee picha zaidi za dictator huyu!
Leo unamkana???taratibu mtaelewa tuMaghufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Kama wapi.Weka na mahali pengine pia kukiwa hakuna kitu kama hivyo.
😳 Nimemkana wapiLeo unamkana???taratibu mtaelewa tu
Nchi ilipitia kipindi sana hiiHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Miradi mingi ilistahili ijengwe Mwanza badala ya Chato kutokana na aidha wingi wa uhitaji wa jambo husika, kulingana na idadi wa wakazi wa eneo husika.Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.