Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Kamwambie mama yenu mlifukie na bwawa la nyerere pia usisahau kumwambia mbowe mfanye kampen ya kumshawishi rais mlivunje daraja la wami pia linaloenda mpaka kwao moshi pumbavu nyie.
Na pesa za wananch zilizotumika nani atazirejesha?
 
Wewe kalia kusema majizi huku ukilia na umasikini wako na kulalamika vitu kupanda wakati wenzio maisha yako vizuri tu
Kwa hiyo unataka na mm nijiunge na majizi niaharibu uzalendo wangu na kusaliti watanzania wenzangu?, hapana kwakweli hizo tabia wanaweza fanya Chadema.
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
View attachment 2552469
Walazimishwe kupanda mabasi mpaka huko mashambani kwao, hatuwezi kuchezea hela za miradi.
 
Picha ya makao makuu ya TANESCO Chato pls..
Miradi ya kimkakati Chato yakwama - Sauti Kubwa

View attachment 2553839
Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu
 
Kwa hiyo unataka na mm nijiunge na majizi niaharibu uzalendo wangu na kusaliti watanzania wenzangu?, hapana kwakweli hizo tabia wanaweza fanya Chadema.
Wewe ni masikini tu hakuna cha uzalendo.
 
Kwa hiyo unataka na mm nijiunge na majizi niaharibu uzalendo wangu na kusaliti watanzania wenzangu?, hapana kwakweli hizo tabia wanaweza fanya Chadema.
Yaani nyinyi majitu ni wa ajabu sana eti unakubali kuitwa masikini mnyonge nawewe unakenua meno kama zuzu
 
Magufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Taa za barabarani sasa, hata ukipita umefumba macho hakuna gari linaweza kukugonga, gari moja linaweza kupita kila baada dk 40.
 
Wekeni na stendi ya daladala mwenge na uwanja wa mpira vimetelekezwa kumekuwa pango la mateja
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
View attachment 2552469
Ke
 
Yaani nyinyi majitu ni wa ajabu sana eti unakubali kuitwa masikini mnyonge nawewe unakenua meno kama zuzu
Ata wewe ni Masikini tena pengine kuliko sisi wengine,ndio maana unatumika na wenzako wao wapo kimya tu.
 
Wewe ni masikini tu hakuna cha uzalendo.
Mimi na wewe ni masikini,Matajiri hawako humu wanatumia machawa yao kama wewe.....Mm najitegemea mana ninaempigania keshakufa stegemei ujira kwake...Yupo Kaburini.
 
Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.
Dar,dodoma,morigoro,
 
Back
Top Bottom