Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.

Akili fupi nazo zina shida!!hivi kusema ukweli ni kuropoka???? tatizo la mitanzania mmeshazoea kuongopewa na
viongozi wenu,hivyo mnataka kila mtu aongope au afiche ukweli.SHAME ON U'
 
...Huyu mwanamke busara yake ni F, naamini Mheshimiwa Zitto atamsamehe tu na kumpotezea...

Haijalishi mtaonga nini,

huu si mda wa kupepesa maneno.
mtaongea yote,ila nimeeleweka.
Josephine ni Josephine, nitasimamia nachoamini.
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.

Tena na Mimi naongezea sina Imani na Bw.Zito Kabwe, Bw.Ibrahimu Lipumba na Bw.Isa Ponda, nina wasi wasi na hawa jamaa wako nyuma ya vurugu za sensa, vurugu za gesi Mtwara na uchinjaji Mwanza! Nafsi yangu tu inaniambia hivyo, Bw. Kabwe simuamini hata kidogo, siku CHADEMA wakimtoa huyu jamaa naenda kujiandikisha uanachama!

 
Haijalishi mtaonga nini,

huu si mda wa kupepesa maneno.
mtaongea yote,ila nimeeleweka.


...Narudia tena,umeeleweka sana, F ya busara, sometimes ni heri kukaa kimya kuliko kujivua mguo hadharani...
 
...Narudia tena,umeeleweka sana, F ya busara, sometimes ni heri kukaa kimya kuliko kujivua mguo hadharani...

No matter what,.

This time sitakaa kimya,mnawatesa watu kwa upuuzi wenu,bado nasema,unahusika.
 
No matter what,.

This time sitakaa kimya,mnawatesa watu kwa upuuzi wenu,bado nasema,unahusika.


...He he he he, so na Butola anahusika tena?kweli wewe mwanamke ni something else, usamehewe tu kwakweli....
 

fact!!
 
Mimi nikiangalia hoja zote hizi ninaona kitu kimoja tu kwamba utoto tu unawasumbua, hakuna mashiko katika hoja zote. Kwa mfano haiji akilini mwa mtu kwamba mtu kakamatwa na sumu akitaka kumuua mtu halafu eti mkayamaliza kishikaji na kuanzisha movement!! what a rubbish?! yaonekana muongeaji hajui anachoongea au hajui uzito wa anachoongea tena mbele ya adhila!
Naweza kuongea mengi nikichambua mada hii ambayo inawatia hatiani wote watoa tuhuma na watuhumiwa na hata wewe bwana Ben, unachojaribu kueleza hapa hakiwezi kusaidia sana kuleta muonekano fulani kisiasa au kijamii kama (nadhani) unavyokusudia.

KAMA MUNGEKUWA MTANIELEWA NA KUNIKUBALIA NINGEWASHAURI HIVI, NYIE BADO NI VIJANA SANA NA MNAYO NAMNA NYINGI YA KUIJENGA NCHI BILA HATA KUPITIA KWENYE SIASA (BRINGING STRUGGLE WITH NOTHING IN YOUR HANDS MAY BRING CONFUSION IN THE FAMILY....) HIKI NI KIPANDE CHA WIMBO KATIKA FILAMU YA SARAFINA NIKIKITUMIA KUMAANISHA KWAMBA MAPAMBANO YENU YA MDOMO MAJUNGU NA FITNA YANASAIDIA SANA KUWANYIMA MWELEKEO KIMAISHA KWA MANUFAA YA FAMILIA ZENU KWANZA NA KWA TAIFA KWA UJUMLA. THE LIFE IS STILL AHEAD OF YOU, JARIBU KUBUNI VITU VINGINE MUACHANE NA MALUMBANO NA KILE KINACHOONEKANA KUTUMIWA NA WAZEE WENU WANAOGOMBANIA MASLAHI YA NYONGEZA KWANI WAMEKULA NCHI HAMJAZALIWA NA BADO WANATAKA KULA KUPITIA MIGONGONI MWENU! SHITUKA
 
There is nothing subtle about this rhetoric. Your just peddling spin and poisonous propaganda & paddling furiously.

The fact the matter, you can't campel to be specific when answering a basic questions. Our active imagination has no trouble imagining the negative outcome of your concealed plan.

Your sitting on the edge, trying to fodge but it's only a matter of time to fall down.

Have a nice day at Kisutu.
 
Nimekuwa msomaji na msikilizaji tu kwa yanayotukia sasa, ninayo mengi ya kuzungumza lakini mengi zaidi nilishayasema, imani na msimamo wangu vimesimama wima.
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.

Wawaaa, ngoma imekuwa nzito imebidi boss mwenyewe aka 1st lady uje umsaidie kijana wako Ben Saanane
Mwambie na "baby" wako ambae wengine humuita babu aje kujibu tuhuma lol
 
Last edited by a moderator:
kuna watu ipo siku mtarudi JF na kulaumu sana,kumbe mlitakiwa kuchukuwa hatua kabla mambo hayajatokea.
waswahili wanakausemi kao,lisemwalo lipo,kama halipo laja
lakini pia babu yangu alinieleza kuwa kikawaida jini likujualo halikuli likakwisha kuwa mwangalifu mjukuu wangu.
ngoja tuone baada ya miaka 4 je semi hizi 2 zitaleta maana halisi?
 
Nimekuwa msomaji na msikilizaji tu kwa yanayotukia sasa, ninayo mengi ya kuzungumza lakini mengi zaidi nilishayasema, imani na msimamo wangu vimesimama wima.

Pole sana mkuu, fanya kazi yako kwa umakini mkubwa maana siku utakapokuwa matatizoni huta amini jinsi utakavyokanwa na chama
 
Nimekuwa msomaji na msikilizaji tu kwa yanayotukia sasa, ninayo mengi ya kuzungumza lakini mengi zaidi nilishayasema, imani na msimamo wangu vimesimama wima.

Yericko
hizi tuhuma wanazopewa baadhi ya watu je zimefanyiwa kazi na kuonekana zinaukweli? ama kila mtu anadhani kwa kuunganisha DOT? isije siku watu wakaanza kusema "nilisikia furani akisema"
 
Wawaaa, ngoma imekuwa nzito imebidi boss mwenyewe aka 1st lady uje umsaidie kijana wako Ben Saanane
Mwambie na "baby" wako ambae wengine humuita babu aje kujibu tuhuma lol

Hacha ukuda we deal na Josephina au na babu (kama ulivyozoea kumuita) ila mtoto mtoe kabisa kumbuka mtoto hana hatia na hakuchagua kuzaliwa na babu. Jaribu kuwa na heshima walau kwa Jr kwani wewe ni mzazi pia.
 
Yericko
hizi tuhuma wanazopewa baadhi ya watu je zimefanyiwa kazi na kuonekana zinaukweli? ama kila mtu anadhani kwa kuunganisha DOT? isije siku watu wakaanza kusema "nilisikia furani akisema"

Nimesema ninayo mengi ya kuzungumza, lakini mengi zaidi nilishayasema,

Maneno hayo yanamaana pana sana,

Mimi nikitaka kuizungumzia chadema pako mahali pakufanya hivyo, lakini sizuiwi kunena lolote na popote ilimradi sivunji miiko na katiba ya nchi na ya chama.e
 
Tanzania eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,nchi yangu eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh,mwanangu kuwa uyaone(Roma mkatoriki)
vijana fanyeni kazi halali,mjipatie vipato halali,hizi siasa za kibongo hazina mashiko tena.
mtamalizana kwa mapanga,wenyewe wanakula kuku kwa mrija
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…