Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.

Nakubaliana na wewe kiongozi
unayomengi ya kuzungumza,lakini je hayo uliyonayo ni ya kudhani tu ama unauhakika na hayo uliyo nayo? maana nilichokiona kwa vijana wa sasa ni kusema lolote hata kama hana uhakika nalo na hii ndio inatufanya nchii kuwa na viongozi ambao husema zaidi yale ya kudhani,na umejionea mwenye bungeni,baada ya tume kuundwa kila mbunge aliyehojiwa akaja na semi ya "nilisikia fulani akisema",nchi haiwezi kwenda kama tutakuwa na vijana tunaowategemea kuingoza na wao husema kwa kudhani.
nakuamini sana Yericko na ni mategemeo yangu kuwa siku ukitaka kusema hutosema kwa kudhani.
asante
 

Acha hizo!
 
Kabembe hapo Red hapo ni serious concern.....!

BEN!!!!! Kwanza mimi sikupendi na nina sababu nyingi sana za kukuchukia ila iliyo kubwa kabisa ni kwamba "" you seem to exercise the central processing unit on this SAGA and you have kept yourself clear from the trouble"""
unaweza ukajiona ni mjanja sana katika huu usanii wako lakini kumbuka hiki ni kisima unachokichimba na utakuwa wa kwanza kudumbukia... hili ndio tatizo la vijana wa kitanzania, kila mmoja wetu ana bei na ananunulika kirahisi... sijajua MBOWE kakununua kwa kiasi gani cha fedha lakini wewe unawakilisha taswira halisi ya vijana wa kitanzania waliojaliwa na mungu AKILI, UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO NA KIPAJI CHA KUJIELEZA... lakini unashindwa kutumia vipaji ulivyopewa na mungu kwa manufaa ya taifa lako,chama chako na familia yako!!! umekubali kutumika na mwisho wa siku UNAELEKEA KATIKA KUJIANGAMIZA. Amini nakwambia mdogo wangu,,, unajichimbia shimo na jaribu kurejea upya maneno yako kama hayaonyeshi taswira ya uasi!!!!! UMKHOTO WE SIZWE dhidi ya serikali halali???????
 
Kwamba Bw. Kabwe, Lipumba na Ponda wamoja?
wewe wasema
mimi nawashauli vijana wafanye kazi halali,kila mtanzania ana haki ya kujipatia kipato kihalali na wala si vinginevyo.
vijana waache hizi siasa,hazina mwelekeo tena,sanasana ni kuumizana huku wenyewe wakila kuku kwa mrija
 
wewe wasema
mimi nawashauli vijana wafanye kazi halali,kila mtanzania ana haki ya kujipatia kipato kihalali na wala si vinginevyo.
vijana waache hizi siasa,hazina mwelekeo tena,sanasana ni kuumizana huku wenyewe wakila kuku kwa mrija

Kwani Siasa siyo ajira? Mbona watu wanalipwa Mishahara tena Mikubwa tu na maisha yao yako poa, humwoni JK siasa si ndio iliyomuweka hapo?
 
Ila kuna tatizo kubwa sana hasa kwa vijana... Wengi naona siasa imekuwa ndio kimbilio lao la kutokea kimaisha.... Na hii style ya kutumiwa na wanasiasa wakongwe ndio imeshika kasi sana ...
Sasa mtu uliyeenda shule unafanya madudu kama haya nani atatukomboa ila .. Hakuna marefu yasiyo na ncha tutajua ukweli...
Kwa sasa nimeamua kuwa na imani na chadema pamoja na mitihani inayopitia ....
Ila hii nchi mabadiliko sio suala la hiari ni suala lazima ....
Binafsi hakuna namna naweza iamini ccm kabisa....
Wito :vyama vya siasa hasa chadema kuweni makini na hawa vijana mnaowapa kazi hapo kwa sifa za uwanaharakati ..wake kumbe ni gia za kutoka kimaisha... (mwisho ndio huo usaliti na kuharibu mikakati ya chama badala ya kuelekeza kujenga chama inatumika nguvu nyingi kujibu propaganda ambazo ni matokeo ya waaganga njaa wachache)
kijana kama umeamua kufanya siasa tambua kwa nchi za kwetu ni suala la kujitoa zaidi .. Matokeo na mafanikio ni mbele sana .. Kwa sasa usitegemee hata vitz ukiwa unataka kukomboa watu kwenye wimbi la umaskini wa kipato na fikra...
Huwezi siasa fanya fani uliyosomea kuna namna nyingi za kuhamasisha tu.. Watu wakaelewa...
Mnadidimiza ukombozi wa nchi hii jamani nchi hii ni maskini sana .... Kuna watu dhamiri zao zimeshakufa haoni haya hata kuiuza nchi hii. ...
 
Tatizo la Police kutumika kukandamiza upinzani ndio chanzo cha maovu. Kauli za viongozi wengi wa CCM zinaangukia katika criminal investigation, but police wanaogopa.
 
ben Saanae,

mnamo mwishoi mwa mwaka jana katika kuelekea kikao cha kamati kuu ya Chadema cha Januari 4-6 2013, uliposti hapa mtandaoni kuwa Zitto anadai anataka kutekwa na anafanya hayo kutafuta public sympathy na ukadai plan yao ilikuwa ajiteke mwenyewe, vipi, unaweza kutusaidia kuwa wewe ulijuaje hii mipango ya Zitto kutekwa au kujiteka? maana ulidai alikuwa akifanya hayo kudivert attention za wajumbe wa kikao kile

Wana JF wangependa wajue vizuri haya ya utekaji wa Zitto maana wewe ndiye uliyeyasema na si Zitto aliyesema, au ulikuwa ukijua juu ya jambo fulani lingetokea so ulitaka likitokea ionekane Zitto alijiteka?
 
unaogopa wakati ulikuwa unatumiwa...stay tuned...mshahara wa dhambi ni mauti...umeanza kulia lia unaogopa sasa
 
Naanza kuamini kweli Ben umetubu dhambi zako sawasawa, swali tu dogo, ni kweli hizo shutuma alizokutuhumu Juliana Shoza za kutaka kumuwekea sumu Zitto ni za kweli? Kwa vile umeamua kutubu na kusema ukweli ninakuamini zaidi kuliko Juliana Shoza ambaye kwanza alikua Mlokole lakini kageuka kama Yuda na kua mpika majungu ya hatari kwasababu tu ya maisha, huyu sitamuamini though sometimes anaweza kusema ukweli kwenye jamabo lenye maslahi kwa ccm na serikali, please naomba jibu.
 
hili picha bado linaendelea mbele duu lina episodi kibao lakini haya yote yana mwisho maana watawala wanaonyesha dalili za kushindwa maana hiyo ni silaha ya mwisho kabisa ya watawala wadhalimu kama hawa ccm. Watanzania tunaimani na cdm hivyo cdm songa mbele hakuna kurudi nyuma hata wakitukamata wote naamini mawe yaliyopo katika nchi hii yatasimama na yatatetea haki zao.
 
Mkuu, nahisi kama unapoteza muda na nguvu nyingi kutoa ushauri huu adhimu kwa mtu kama Ben saa8, kwani anachokifanya anakijua hasa!

 

Well stated
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
hahahaha mama unaongea kwaniaba au? kweli makundi yanazidi kuonekana DR,First Lady and Saanane
 
Ben,Zitto,Kafulila ,Mtela Mwampamba,Juliana Shonza lao moja tunaangalia tuone movie yao inaishia wapi,
 
hahahaha mama unaongea kwaniaba au? kweli makundi yanazidi kuonekana DR,First Lady and Saanane
sasa ndio nimejua nani anamweka ben mjini. Na hii jeuri yake anapatia wapi,kumbe ni kijana wa festi ledi kivuli
 
Reactions: kix
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…