Siasa hizi za vijana wa sasa ambao ndio wanaotegemewa na watanzania wengi kuwaletea ukombozi wa pili zinakatisha tamaa sana. Naona mashambulizi yale yale kwa watu wale wale yanaendelea tena. Hali hii ikiachwa iendelee hivi,kamwe tusitegemee mazuri yoyote toka kwa watu hawa kwa mtindo huu. Vijana acheni siasa za chuki,visasi na uongo ili kujenga nchi yetu. Kwa mtindo huu wazee wetu hawawezi kutuachia madaraka au nafasi yoyote ya uongozi kwani inavyoonekana bado tunakosa hata busara za elimu yetu,tofauti na wazee wetu wenye busara tokana na elimu,uzoefu na umri wao.
RED BRIGADE ichukue center stage kulinda viongozi na wanachama wetu pamoja na interest za chama popote bila kuvunja sheria lakini sheria itekelezwe bila bias. Vijana CHADEMA hatujawahi kuwa softy,siyo historia yetu, siyo falsafa wala itifaki ya Kombati kunyamazia haya.
Sikujua kama Super double agent kumbe nao wakibanwa huwa wanakimbilia kutaka sympathy huku wakitoa amri kwa wengine kuwasaidia.
Kumbe kila mmoja CHADEMA ana uwezo wa kutoa AMRI, au kazi ya mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama ameishapewa kwa sababu paragraph hii ina amrisha RED BRIGADE na siyo kuwaomba.
nyoka akiingiza tu kichwa ndani ya shimo huwa ni kazi ngumu kumtoa kwa kutumia mkia wake, lakini ukiweka kizinga cha moto, anafurumuka moja moja.
.
SURE THING.. itatusaidia wengi .. tuongezee ufahamu maana kuna giza limetanda.. kwenye hizi propaganda...Sio vibaya Ben akajibu maswali ya nayoumiza kichwa watu hapa
Unamfahamu Ludovick?
umewahi kukutana nae?
ni mwana CHADEMA mwenzio?
Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata Lwakatare tena Kova akasisitiza amekamatwa kama mshukiwa sio chama lakin kesho yake Slaa akaitisha Press conference kama katibu sio Wilbroad Peter kuzungumzia tena kukana kuhusika kwa Lwakatare badala ya kumuachia mwenyewe ajieleze halaf mnalalamika kuwa inahusishwa Chadema wakati nyie ndo mmelivaa kichama, Pia kwa kuendeleza Bifu lako la kike kwa Zitto unataka ahojiwe kwa kuwa tu alishawahi kusema alitaka kuuawa,Hivi slaa kwa mara zaid ya Tano amesikika hadharan akisema yeye ni Target ya kuuawa,Mwakyembe kaongea sana vitisho dhidi yake kwa nini huoni umuhim kwao nao kuhojiwa?, kama ukihisi kupakaziwa kashfa za mauaji dhidi ya usiowapenda kwa nn huendi mahakamni kufuangua kesi dhidi ya Defarmation? Usichochee watu kutumia style ya Umkotho we Sizwe ya Kina mandela hutaleweka Even na Kina Mbowe? Siasa hizo inamaana Kuzima mziki Billicanas,Kufunga Tanzania Daima,Kufunga hotel zao kadhaa na biashara zao,soma uelewe jinsi watu walivyofilisika South Africa kwa Mapambano ujasiri ambao Mbowe na Mapepari wenzie Chadema hawawez kuuvaa hata kwa Maigizo. Msiwaache Solemba Magaidi wenu kama mlivyowaacha solemba Wajane wa Jan 5 Arusha.
hiv ben hajakamatwa tu hawa polisi wanareta masihara kwenye mambo ya msingi
Hata wewe ukitaka unaweza kuwa shahidi ukitaka na kama una ushahidi.
Mkuu mie niliishasema hapa kuwa huyu kijana anajua mengi sana.Mkuu, this is a million dollar quiz. Naona mhusika muhimu anaanza kutoa majibu ya quiz!!!