Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Nenda garda mkuu au unachagua kazi?kazi zipo kama unataka kazi ya kujishikisha wakati unatafuta kazi uipendayo utashinda vp na njaa boss? Watu wa kada yako wanaitajika ofisini control room
Control room direct ??
 
Kwa mtu anayetoka Magomeni anafikaje huko.? Na kama huna mafunzo ya ulinzi unapataje kazi.?
Garda wapo mikocheni b zamani ofisi za kk zilipokua ukipitia jkt ni sifa ya ziada kwako mkuu nielewe
 
Control room direct ??
Unaweza kuanzia guard then nafasi zikitoka za taaluma ni raisi kuomba boss kwenye kampuni za ulinzi kuna wahasibu na vitengo vingine watu wanakula salary nzuri tu
 
Mimi mwenyewe Mlinzi mkuu. Tena tangu 2017, Kwahiyo hakuna kitu nisichojua huko🤣
 
Mimi mwenyewe Mlinzi mkuu. Tena tangu 2017, Kwahiyo hakuna kitu nisichojua huko[emoji1787]
Hii ndiyo shida ya wabongo misifa haya mtoto wa kiume analialia eti kula shida kwahiyo nadanganya?
 
Muhimu kwa mtoto wa kiume ni kupambana chaka lolote. Kama ulinzi sawa ila asiingie akiwa na matarajio makubwa ya mshahara, heshima na vyeo.

Vijana wetu bado ni shida Mkuu, kuna dogo mmoja nikimwambia katafute hata kazi ya ulinzi ya 150,000 analeta ubitozi, lakini kila siku anapiga mizinga ya 2,000, 3,000.

Yaani yeye anataka kazi za supermarket au za kufanyia ubitozi.
 
Correct
 
Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam.

Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
Ngoja nijaribu kukupambania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freelancer hawasumbui?
Kumejaaa wahindi ni matapeli balaa ukizubaa wanapita na ela yako, halafu kunawabangladesh ukizubaa utapiga kazi ukidhani utapata dollar 2000 kumbe hata mia hakulipi. Ila si mbaya ukiwa wajua tofautisha tapeli na asiyetapeli na ukafuata utaratibu hakuna kufanya kazi bila milestone na hutoi ela eti ya sijui hao matapeli uwa wanaitaje nimesahau.
Mimi nshaacha kubid freelancer nipo tu nina clients wawili wa permanent japo mmoja nilikuwa nimempoteza toka mwez wa tatu naona jana karudi.
 
Ila kwa kifupi ni kwamba hizi platform kwasas zimejaa yani kuna watu wanafanya kazi kwa ela ndogo kabisa hivyo hailipi sana kama zamani unless unafanya professional jobs ambazo si kila mtu anaweza fanya
Yeah ukisema hivyo naelewa maana nimeona kazi za usd 5 kibao!
 
Kumejaaa wahindi ni matapeli balaa ukizubaa wanapita na ela yako, halafu kunawabangladesh ukizubaa utapiga kazi ukidhani utapata dollar 2000 kumbe hata mia hakulipi. Ila si mbaya ukiwa wajua tofautisha tapeli na asiyetapeli na ukafuata utaratibu hakuna kufanya kazi bila milestone na hutoi ela eti ya sijui hao matapeli uwa wanaitaje nimesahau.
Mimi nshaacha kubid freelancer nipo tu nina clients wawili wa permanent japo mmoja nilikuwa nimempoteza toka mwez wa tatu naona jana karudi.
Zile za kubid niliona wananiletea habari sijui za kulipia hela ya nini nikaona wezi hawa 🤣🤣🤣 nikakimbiaga
 
Back
Top Bottom