Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

Upumbavu mtupu. Aya ya mwisho ndio imeanika upumbavu wako wa wazi wazi
Ni ukweli ulio wazi kuwa matatizo haya hayakuwapo wakati wa JPM, sio unafiki, siri wala kificho. Inawezekana Mpango alikuwa waziri bora kuliko Nchemba au JPM alikuwa rais bora kuliko huyu wa sasa. All in all rais ndio kiongozi wa serikali, kwahiyo haya yote kayaleta mama.
 
Madelu hawezi ku manage uchumi, huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea kuokoteza tozo......uchumi unajengwa kwa sera bora jumuishi za kiuchumi na fikra sahihi. Siyo kukusanya tozo na kufuja kwenye matumizi ya anasa ya magari ya kifahari na misafara iliyosheheni viieite......
 
Halafu kuna wengine wanaagizwa wajipimie😁😁😁

Mithali 31-6: "Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini."

Baa tunaenda kujisahaulisha machungu ya uchumi wa awamu ya 6.
 
PhD yake ni ya kwenye makaratasi tu, akiwa 'site' majibu ya maswali yote ni tozo.
Nchi ngum Sana hii, alafu nasikia alitakaga kuwa Rais,na wenda anautaka, ila Shaka kaisha wapiga pin huko, 2025 Kuna uwezekano wa kua na form 1 Kama 2020 kupitia chama kile
 
Mkuu ishu kama izi lazimanuwe nanjustification ya takwimu sio umeshiba ugali kisha unakuja na hoja nyepesi sanaa kama wazee wa kahawa vijiweni
 
Lile dubwana la chato pamoja ja mapungufu yake lakini lilikuwa na akili nyingi na uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo mengi in details.

Maza ame 'delegate' mambo mengi yeye yupo bize kuzunguka huku na kule. Management ya kufanya delegation kila kitu bongo hautoboi.
 
Awamu pesa imerudi mtaani japo vitu vimepanda bei ila pesa tu imerudi mtaani huo ndo ukweli

Na ugumu wa maisha ulianza awamu ya tano kukaza vyuma
Kweli kila mtu na zama zake, mimi awamu ya tano vyuma vilikaza lakini maisha yalikuwa na stability, kwasasa mambo ni vurugu tupu.... Lakini wanasema historia ni mwalimu mzuri, mama akiendelea hivi basi tutajikuta tunaishi kama 1985-1995.
 
Mataifa yote yenye kodi kubwa inakwenda sambamba na huduma bora za jamii tena za bure! Kwa umasikini wa watanzania kuwa toza utitiri wa kodi ni kuwaongezea umasikini tu. Watakaonufaika na awamu hii ni wafanyabishara wakwepa kodi, na watumishi wa serikali wataponea kwenye rushwa kutokea kwenu.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…