Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

Kwahiyo kuwepo kwa tozo ni umasikini? Mfumuko wa bei ni umasikini we ngosha bwana! Mwangaluka guku
I really wanted to type the maths here and explain it to you.... But then I doubt your dummy ass will get it. So let's just leave it like this, when inflation hits middle & lower income people get poorer, if you throw in high taxes and nonsensical government levies it's a disaster for them.
 
Una huhakika kama watu wakienda bar wanakunywa beer!?? Kama.ulikuwa hujui bar watu wanakunywa ngumu kumeza ili wapatr vibe mapema bapa ya 10000 wanakunywa watu watatu mpaka 5 huo ni umasikini .
 
Embu acha kuongea jumla jumla hapa, Tozo zipi zilizokuongezea umasikini kutoka kwenye utajiri ulio kuwa nao awali, unazani hata hizo nchi za ulaya zilifika hapo zilipo kwa kukaa na kusubiri walipa Kodi wa nchi nyingine wawape pesa,

Lazima ufahamu kuwa hakuna nchi inaendelea kwa kuitegemea nchi nyingine, lazima sisi wenyewe ndio tujifunge mikanda ili kuijenga nchi yetu wenyewe, lazima tuhakikishe kuwa ujenzi wa huduma za kijamii tunajikusanyia hela zetu na kujenga wenyewe na kutunza miradi hiyo kwa uchungu na umakini

Mh Rais anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa pamoja na uchumi wa dunia kuyumba lakini serikali inabeba baadhi ya gharama kumsaidia mwananchi mnyonge, ndio maana unaona serikali ikitoa Ruzuku mabillioni kwa mabillioni ili mwananchi apate unafuu wa kumudu gharama za vitu Kama mbolea na hata mafuta
 
Mimi sina cha kupoteza nihesabiwe au nisihesabiwe sensa sioni kama itasaidia chochote katika maisha yangu.
 
Walevi wa "SA1OO VODKA" watakushukia kama mwewe
 
Jifunze kutafuta suluhu ya mattzo yako acha kuraumu kla ktu serikal maisha magumu badili mfumo wako wa maisha sio lazma kula mara tatu kwa sku
 
Wananchi hali mbaya Kiuchumi ila Yeye anaendelea tu na Ukarabati wa Hekalu lake Mbweni linalopakana na Uwanja ( Eneo ) la Jirani yake ambaye pia alikuwa ndiyo Boss wake kabla Israeli hajafanya yake tarehe 17 Machi, 2021 kwa Mzena Makumbusho Dar es Salaam Tanzania Afrika Mashariki.
 
Wanaume mnalalamika kupita kiasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani ulipoweka "RIP JPM" ndio nimekuona matacor kinyama!
 
Wasukuma wasukuma kaeni kimya. Sisi tunaendelea hesabuni tu mikia ya ng’ombe. Msukuma mleta thread nenda Gambosj kafufue shetani mwendazake Magufuli.
 
Magufuli aliangusha uchumi wa Nchi, serikali ilifirisika kabisa kabisa, matokeo yake ndio haya tunayoyaona Sasa, wakulaumiwa ni mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…