Hali si shwari kati ya Hussein Mwinyi na Othman Masoud. Hawaelewani kuhusu suala la Muungano

Kwahiyo wewe hutaki kabisa muungano?

#MaendeleoHayanaChama

Acha kupotosha. Hakuna muungano, kuna uvamizi. Kila uchaguzi majeshi yenu yanamwaga damu za Wazanzibari. Huo ni uvamizi.

Human Rights Watch research has found that at least 14 people died and 55 were injured, as police, soldiers, and armed men in civilian clothes teargassed and shot at crowds, between October 26 and 30, 2020. The armed men also arbitrarily arrested, detained, and tortured opposition supporters on Zanzibar’s main islands of Unguja and Pemba. Neither the Tanzanian central authorities nor Zanzibari authorities have acknowledged, let alone investigated, the full scale and toll of the violence, despite a public outcry within the country, and calls for investigations, including by the United Nations High Commissioner for Human Rights.

Ila chama chake cha sasa (Act) hasa upande wa bara huenda wakawa na mtizamo tofauti na yeye.

..wabara ndani ya Act wanaburuzwa tu.

..waznz / wapemba ndio wameshika turufu ya chama.

..muda wowote ule wanaweza kushusha tanga Act na kulipandisha Nccr, Udp, Umoja, etc
 
Unaamini Wazanzibar wote (ikiwemo Ccm Zanzibar ) wanakubaliana na msimamo wa OMO mpaka uhitimishe hivi ?
Kalamu Nguruvi3 Pascal Mayalla zitto junior Tindo
Kilatha
Kichuguu
CCM inabidi waache tabia ya kulea watu kama OMO, ni lazima wawape ukweli wao ulivyo.

Huyu hana kazi nyingine bali kuchokonoa tu jambo lolote linalohusu muungano. Ya nini kumlea mtu kama huyo?

Mpe nafasi apiganie anayoyaamini yeye. Akishinda kwa watu kukubali hoja zake, basi na iwe hivyo. Akishindwa, atokomee mbali.
 
..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake.

..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe kitu kimoja.

Msikilize Othman Masoud hapa chini.
View attachment 2280710

Hussein Mwinyi amejibu hapa.

View attachment 2280711
Huwaga nashangaa sana, Mtu Makini na asiyepinda kama Othman Masoud Kufanya kazi na Mtu kama Ayatollah, Yuda Kabwe Mwami
 
Othman Masoud ni mtu asieutaka Muungano ata Zanzibar ipewe nini atakuja na dai jipya.

Sasa kwa yeyote mwenye kuelewa misimamo yake si ajabu kuona uzushi, uongo na sumu anayosambaza leo.

Binafsi ukipekua mada ya kutafuta mrithi wa Maalim Seif, kabla ya ACT kupeleka jina lolote nilisema watamteua huyo jamaa (kumbuka hakuwa na senior position ndani ya chama muda huo) bali itakuwa kwa sababu la kuanzisha vugu-vugu la kuuvunja muungano tu.

Maalim Seif alikuwa moderate kwenye kudai nyongeza ya autonomy ya Zanzibar and wise kuepuka vurugu. Huyu Othman Masoud ni radical na ajali sana lolote zaidi ya independence again ukisoma hizo mada za kutafuta replacement nilisema ACT wakimteua huyo jamaa serikali imkatae kwa sababu mbeleni wanamtengenezea jukwaa la kugawa wazanzibari (na ndio kinachoanza kutokea sasa).

Mgawanyiko ya Hizbu na asili Zanzibar auna tofauti na Loyalists na Unionist (North Ireland) bila ya serikali ya uingereza apakaliki kule; ndio kama visiwani bila ya bara.

Asifananishe na Scotland kutumia vita za kifalme kama sababu; huo ni utaratibu mwingine wa mediaeval chiefdoms ambapo walikuwa wanaona wenyewe kwa wenyewe wafalme Europe na kupelekeana vita wakati mwingine kwa madai ya fulani yeye ndio mrithi. King George wa uingereza alikuwa mjerumani mbona hizi sio nchi moja leo. Sasa asichanganye historia za kifalme na siasa nation unions ni vitu viwili tofauti.

Anyway mimi sio pro muungano anymore tuwaache tu wafanye yao; ila kwa serikali huyo jamaa ni tatizo.

Ana siasa za ki demagoguery za kutunga uongo na kuhamasisha makundi kusambaza uongo wake plus ana malalamiko ya kitoto sana ata EAC community kuna baadhi ya sheria zinatungwa kwenye bunge community na nchi wanachama wote wana implement that is how Union works mkishakubaliana maswala ya Union na mkaliwekea bunge la kutunga sheria.

Yeye anapotosha jinsi sheria zinavyotungwa anaongopa ya kuwa serikali ya Tanzania ndio guarantor wa mikopo yao waki default bara inatakiwa kulipa ndio maana wakopeshaji wanataka ridhaa ya serikali kuu kwanza. Wao madeni ya ndani kulipa shida tu; wana madeni ya TANESCO in billions tsh awataki kurejesha god know madeni yao mengine yenye guarantee ya serikali kama ata wanachangia kulipa.

Huyo jamaa ni muongo na nakubaliana kabisa na wanaosema interview zake anazofanya huwa akutani na watu wenye uelewa mpana ndio maana anaropoka ovyo uongo.

Kama nilivyosema awali huyo jamaa ni tatizo la serikali kwa upande namuunga mkono for one simple reason it’s time ya kuuvunja huu muungano. My reasons are kwa umoja wao viongozi wa Zanzibar ni ungrateful people and selfish wanataka vya bara tu vyao nehi.

..Nakubaliana na wewe kwamba muungano huu hauwezekani ktk mazingira ya sasa.

..Nina wasiwasi na mtizamo na msisitizo unaoweka kwamba Othman anasambaza sumu.

..Ccm mna kawaida ya kuwaita watu majina mabaya ili kutoa nafasi ya kuwatendea uovu.

..Hivi hakuna wana-Ccm wa kueleza mazuri ya muungano?

..Kwanini utetezi wa Ccm umekuwa kuwaita majina mabaya wanaopinga muungano, au wanaopendekeza mfumo tofauti?
 
Unamzushia uongo.
Pascal Mayalla ni raia wa kawaida tu, hivyo hawezi kuwagombanisha vigogo wakubwa wa huko visiwani.
Mkuu wewe unamuona raia wa kawaida lakini ana karama ya kugombanisha na kochongea watu,huyu jamaa akikusagia kunguni huchomoki, unakumbuka alivyomchongea Kabendera enzi za jiwe hadi yakamkuta ya kumkuta Kabendera hadi kulelekea kifo cha Mama yake mzazi. Huyu mtu nuksi sana.
 
..Nakubaliana na wewe kwamba muungano huu hauwezekani ktk mazingira ya sasa.

..Nina wasiwasi na mtizamo na msisitizo unaoweka kwamba Othman anasambaza sumu.

..Ccm mna kawaida ya kuwaita watu majina mabaya ili kutoa nafasi ya kuwatendea uovu.

..Hivi hakuna wana-Ccm wa kueleza mazuri ya muungano?

..Kwanini utetezi wa Ccm umekuwa kuwaita majina mabaya wanaopinga muungano, au wanaopendekeza mfumo tofauti?
Kauli za mitandaoni aziwezi kuwa za taasisi yeyote labda kama mchangiaji ni verified user na anamamlaka ya kuongelea misimamo yake; na CCM wanavikao vyao vya kuamua na msemaji wao rasmi.

Ndio maana Shaka sasa hivi anaongelea swala la katiba baada ya vikao vyao.

Other than that humu ndani tunajadili tu yanayohusu nchi na other current issues kama wananchi ata kama viongozi wanatia neno kwenye mada provided ni unverified users sio misimamo ya taasisi zao wala serikali.

Mimi ni raia tu na sina shida na Othman Masoud naheshimu msimamo wake; sipendi tu njia zake za kutunga uongo wake katika kuhamasisha agenda yake.

Kuhusu muungano awali nilikuwa na support nikiona kama kuna inter-marriage nyingi, kuna wapemba wengi sana wame settle bara hasa Tanga ndio maana CUF ilikuwa na support kubwa sana miaka 2010 na kuna undugu wa kihistoria kati ya bara na visiwani.

Lakini imefikia hatua kama ni mahusiano basi Zanzibar ni ‘high maintance’ partner. Kila siku wanajipya tunawapa na bado wanalalamika raisi Samia alipoingia tu aliagiza maswala ya mapato na mikopo ishughulikiwe na washafanya hayo.

Ifike mahala tuseme enough ya kugawa kwani lazima tuwafurahishe wao tu waende tu.

Hakuna athari zozote za kiuchumi wala kiusalama kwetu zaidi ya kupata taifa lingine lakujumuika na Kenya, Burundi, Rwanda na Zambia ambao kutwa wanalilia bidhaa za chakula kutoka Tanzania. Na hayo mahoteli wanayofungua ni opportunity kubwa kwa wakulima wa Tanzania baadae.

Tumembeleza vya kutosha tuwaache sasa waende wenyewe awataki.
 
Heheheh ndugu zenu sisi jomba msituache maana tynajua mkituacha tu tutaanzana wenyewe kwa wenyewe shekh..we acha tu..
 
Wamezidi nadhani ata bara sasa hivi ikiitwa kura ya maoni jibu litakuwa uvunjwe tu huo muungano.
 
Kauli za mitandaoni aziwezi kuwa za taasisi yeyote labda kama mchangiaji ni verified user na anamamlaka ya kuongelea misimamo yake; na CCM wanavikao vyao vya kuamua na msemaji wao rasmi.

Ndio maana Shaka sasa hivi anaongelea swala la katiba baada ya vikao vyao.

Other than that humu ndani tunajadili tu yanayohusu nchi na other current issues kama wananchi ata kama viongozi wanatia neno kwenye mada provided ni unverified users sio misimamo ya taasisi zao wala serikali.

Mimi ni raia tu na sina shida na Othman Masoud naheshimu msimamo wake; sipendi tu njia zake za kutunga uongo wake katika kuhamasisha agenda yake.

Kuhusu muungano awali nilikuwa na support nikiona kama kuna inter-marriage nyingi, kuna wapemba wengi sana wame settle bara hasa Tanga ndio maana CUF ilikuwa na support kubwa sana miaka 2010 na kuna undugu wa kihistoria kati ya bara na visiwani.

Lakini imefikia hatua kama ni mahusiano basi Zanzibar ni ‘high maintance’ partner. Kila siku wanajipya tunawapa na bado wanalalamika raisi Samia alipoingia tu aliagiza maswala ya mapato na mikopo ishughulikiwe na washafanya hayo.

Ifike mahala tuseme enough ya kugawa kwani lazima tuwafurahishe wao tu waende tu.

Hakuna athari zozote za kiuchumi wala kiusalama kwetu zaidi ya kupata taifa lingine lakujumuika na Kenya, Burundi, Rwanda na Zambia ambao kutwa wanalilia bidhaa za chakula kutoka Tanzania. Na hayo mahoteli wanayofungua ni opportunity kubwa kwa wakulima wa Tanzania baadae.

Tumembeleza vya kutosha tuwaache sasa waende wenyewe awataki.

Yaani kuuwa ndugu zetu, kuwapa watu vilema, kunajisi dada zetu ndiyo mnabembeleza? Mbona machogo mna kashfa sana? Halafu mnachotupa nini? Zaidi ya umaskini? Kabla Nyerere hajavamia Zanzibar, uchumi wa Zanzibar ulikuwa mzuri. Historia haidanganyi

He now fears that Nyerereʼs government is trying to gain control over Zanzibarʼs relatively hefty foreign exchange reserves. The two leaders will probably continueto make compromises in order to keep the union going, partly because their prestige would suffer if it were dissolved. Thus the union is likely to muddle along as long as Nyerere and Karume are in power, but few other Tanzanians would mourn its passing.

Yaani kuuwa ndugu zetu, kuwapa watu vilema, kunajisi dada zetu ndiyo mnabembeleza? Mbona machogo mna kashfa sana? Halafu mnachotupa nini? Zaidi ya umaskini? Kabla Nyerere hajavamia Zanzibar, uchumi wa Zanzibar ulikuwa mzuri. Historia haidanganyi

Vilema na chongo mnapeana wenyewe sisi tupo kusaidia amani tu.

Kwani uamsho walikuwa wanawafanyia fujo wabara au wazanzibari wenzao.

Huo uchumi ebu chunguza Zanzibar ilikuwa ina trade nini na bidhaa ilikuwa inatoa wapi.
 
Majeshi ya kusaidia amani yanapelekwa baada ya Umoja wa mataifa kupiga kura. Kama UN resolution ya kupeleka majeshi DRC ilivyopitishwa. Kinyume cha hapo ni uvamizi kama alivyofanya Nyerere.

Uchumi wa Zanzibar haukawategemea nyie machogo kama unavyojidanganya. Na hata leo Zanzibar ikirudisha mamlaka yake kamili utaona itakavyowaacha nyuma kimaendeleo kwa sababu ya sera zenu mbovu mlizoachiwa na Nyerere.
 
Mwambieni Othman Zanzibar ni more than strategic area for Tanganyika security huu Muungano utalindwa kwa njia yoyote ile
 
..sikiliza Othman Masoud anavyoponda Hussein Mwinyi.

..Na itabidi wamvumilie kwani wakimfukuza watamfanya shujaa wao kama alivyokuwa Maalim Seif.

Kauli za mitandaoni aziwezi kuwa za taasisi yeyote labda kama mchangiaji ni verified user na anamamlaka ya kuongelea misimamo yake; na CCM wanavikao vyao vya kuamua na msemaji wao rasmi.
Katika suala la vikao vya CCM kuna unafiki pia. Hawa CCM wa Zanzibar wapo kimya hata pale penye upotoshaji
Nyuma ya pazia watu kama akina Nahodha Vuai wana hoja zile zile za OMO
Mimi ni raia tu na sina shida na Othman Masoud naheshimu msimamo wake; sipendi tu njia zake za kutunga uongo wake katika kuhamasisha agenda yake.
Nami kama wewe si hoji haki yake ya kuongelea muungano kwa jinsi anavyoona, ninapingana na hoja zake za uongo, ubabaishaji na uzushi. Napingana na hoja zake za kujificha nyuma ya hoja wakati ana agenda kuu mbili
1. Chuki iliyofuruta dhidi ya Watanganyika na hata nahoji hivi Watanganyika wanachama wa ACT-Wazalendo wanakubali vipi dhalili kutoka kwa OMO

2. Hoja zake za kuzua uongo. Mfano, ni ile ya ''colligiate' ya Marekani ambayo haipo na hata kama tutaibadili kuwa electoral college kama ilivyo bado haikidhi haja zake.

Mfano wa pili ni unafiki. Watangazaji walimuuliza kuhusu sukari kuziwa kuingia kutoka Zanzibar, OMO hakujibu kwasababu anajua serikali ameruhusu vitu kutoka Zanzibar viingie tu bara bila kodi kupitia suluhu za kero zilizofanyika kwa siri zikiongozwa na Philip Mpango VP na Mwigulu Nchemba .
Hawa watu wawili wapo katika rekodi zetu ipo siku tutawakumbusha sisi Watanganyika

Hili ni kwa gharama za Watanganyika kwasababu Zanzibar inatumika kama uchochoro wa kukwepa kodi
Matokeo yake ni tozo na kodi kwa Mtanganyika kwa TRA kukosa mapato kwa uchochoro wa Zanzibar
Lakini imefikia hatua kama ni mahusiano basi Zanzibar ni ‘high maintance’ partner. Kila siku wanajipya tunawapa na bado wanalalamika raisi Samia alipoingia tu aliagiza maswala ya mapato na mikopo ishughulikiwe na washafanya hayo.
Tunatumia rasilimali nyingi sanakuweka huu muungano badala ya kuzitumia maeneo yanayosaidia nchi yetu

Mfano mapato ya simu tunagawana na Zanzibar, yaani simu ipigwe bara kuna asilimia inakwenda Zanzibar!!
Orodha ni kubwa inatosha tu kusema kuna gharama kubwa
Ifike mahala tuseme enough ya kugawa kwani lazima tuwafurahishe wao tu waende tu.
Nadhani wakati huo ni sasa, waacheni waende kuwa Singapore kama anavyosema OMO wa ACT
Hakuna athari zozote za kiuchumi wala kiusalama kwetu zaidi ya kupata taifa lingine lakujumuika na Kenya, Burundi, Rwanda na Zambia ambao kutwa wanalilia bidhaa za chakula kutoka Tanzania. Na hayo mahoteli wanayofungua ni opportunity kubwa kwa wakulima wa Tanzania baadae.

Tumembeleza vya kutosha tuwaache sasa waende wenyewe awataki.
Hakuna! na hakuna Mtanganyika atakayepoteza chochote au lolote! hakuna

Hawa Watanganyika wanachama wa ACT wajue kupitia kauli za chuki za OMO kwamba ACT si yao
 
Majeshi ya kusaidia amani yanapelekwa baada ya Umoja wa mataifa kupiga kura. Kama UN resolution ya kupeleka majeshi DRC ilivyopitishwa. Kinyume cha hapo ni uvamizi kama alivyofanya Nyerere.

Uchumi wa Zanzibar haukawategemea nyie machogo kama unavyojidanganya. Na hata leo Zanzibar ikirudisha mamlaka yake kamili utaona itakavyowaacha nyuma kimaendeleo kwa sababu ya sera zenu mbovu mlizoachiwa na Nyerere.
Tafuta bidhaa za trade Zanzibar miaka hiyo uone hizo resources walikuwa wanatoa wapi.

Bila ya muungano kitu kikubwa kilichobaki ni karafuu tu.

Ardhi ya uwekezaji sasa hivi wanaangalia visiwa vidogo vya pembeni mainland Zanzibar hakuna tena mahala pa kujengwa mahotel makubwa.

Na utalii wenyewe umekuzwa na bara wanakuja mbugani kisha wanamalizia Zanzibar.
 
Katika suala la vikao vya CCM kuna unafiki pia. Hawa CCM wa Zanzibar wapo kimya hata pale penye upotoshaji
Nyuma ya pazia watu kama akina Nahodha Vuai wana hoja zile zile za OMO

Nami kama wewe si hoji haki yake ya kuongelea muungano kwa jinsi anavyoona, ninapingana na hoja zake za uongo, ubabaishaji na uzushi. Napingana na hoja zake za kujificha nyuma ya hoja wakati ana agenda kuu mbili
1. Chuki iliyofuruta dhidi ya Watanganyika na hata nahoji hivi Watanganyika wanachama wa ACT-Wazalendo wanakubali vipi dhalili kutoka kwa OMO

2. Hoja zake za kuzua uongo. Mfano, ni ile ya ''colligiate' ya Marekani ambayo haipo na hata kama tutaibadili kuwa electoral college kama ilivyo bado haikidhi haja zake.

Mfano wa pili ni unafiki. Watangazaji walimuuliza kuhusu sukari kuziwa kuingia kutoka Zanzibar, OMO hakujibu kwasababu anajua serikali ameruhusu vitu kutoka Zanzibar viingie tu bara bila kodi kupitia suluhu za kero zilizofanyika kwa siri zikiongozwa na Philip Mpango VP na Mwigulu Nchemba .
Hawa watu wawili wapo katika rekodi zetu ipo siku tutawakumbusha sisi Watanganyika

Hili ni kwa gharama za Watanganyika kwasababu Zanzibar inatumika kama uchochoro wa kukwepa kodi
Matokeo yake ni tozo na kodi kwa Mtanganyika kwa TRA kukosa mapato kwa uchochoro wa Zanzibar

Tunatumia rasilimali nyingi sanakuweka huu muungano badala ya kuzitumia maeneo yanayosaidia nchi yetu

Mfano mapato ya simu tunagawana na Zanzibar, yaani simu ipigwe bara kuna asilimia inakwenda Zanzibar!!
Orodha ni kubwa inatosha tu kusema kuna gharama kubwa

Nadhani wakati huo ni sasa, waacheni waende kuwa Singapore kama anavyosema OMO wa ACT

Hakuna! na hakuna Mtanganyika atakayepoteza chochote au lolote! hakuna

Hawa Watanganyika wanachama wa ACT wajue kupitia kauli za chuki za OMO kwamba ACT si yao
Kwa sasa lipo wazi chunguza ata mada zingine za maswala ya muungano JF contributors wengi msimamo wao awauelewi tena huu muungano.

Ni watu wachache sana wenye nguvu ya kuutetea muungano bara kutoka moyoni.

Kikubwa kinachowachosha wa bara ni hizi tabia zao za choyo ‘chetu chao; na chao ni chao’.

Hao ACT wazalendo upande wa bara ata aileweki agenda yao nini tena, baada ya kuwakabidhi CUF ya Maalim Seif chama na wenyewe wanaenda na mdundo wao tu.
 
Hizi kelele za muungano zitaisha pale CCM watakapoacha uroho wa madaraka na kuifanya Tanzania ni Taifa moja na lenye Rais mmoja tu. Huu mpango wa kupeana ulaji wa urais ndio unaozingua.
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom