Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Siyo Sahihi, Simiyu Mpaka Fisi Wameombwa Kuhudhuria
Kama Fisi watakuwepo Basi huo sio tu upendo kwa mh rais bali mahaba ya dhati. Asanteni sana wakazi wa Simiyu, wasukuma wenzangu.
 
Wenye shule pelekeni magari yenu gereji kwani shule zenu si zimefungwa , ondoeni taili za magari yenu, wafanyabiasha fungeni rudi nyumbani kalale shida ya nini watoto wafurahie uwepo wa wazazi nyumbani.
 
Si lazima wananchi kumlaki rais, hawa viongozi wa CCM wanataka kutulazimisha tu wananchi twende na mawe kumtungua rais wao, watu hatumtaki mnatulazimisha ili iweje?
 
So it means Waliopo kwenye sherehe waeirishe 🤣wahudhurie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…