Tetesi: Hali tete Tanzania: Baraza la Maaskofu laandaa Waraka Mzito wa X-Mass

Sunzu tuko wote, lakini sidhani kama unaweza kuvuja mpaka utoe hint hapa!
 

Sidhani kama Baraza la Maaskofu Tanzania linafanya Kazi katika utaratibu kama huo. Kwamba Tamko lenyewe halijatoka halafu wewe tayari wewe ulishafahamu kwamba kuna tamko linaandaliwa.
 
Hakuna Waraka Kusomwa Popote
Ingawa Baraza La Maaskofu TEC Na KKKT
Taarifa Zinasema Wamekuwa Wakikutana Mara Kwa Mara Kuna Jambo
 
Kwa kuwa ni tetesi basi kathibitishe kwanza kisha uje uandike habari za uhakika. Hao maaskofu huwa hawachelewi kurukana wanapotoa hizo nyaraka zao.
 
wakileta tu tunaweka kodi ktk sadaka
 
wakala my foot😕😕😕😕😕.

hili ndio tatizo la siasa kuingia kanisani au msikitini.
 
Afadhali kamanda.
Hakuna haja ya kuangalia Utekelezaji wa mradi wa Umeme, SGR, Flyovers, Elimu bure, ukuaji wa uchumi, kupinga USHOGA, ongezeko la pesa za madawa mahospitaini ...........Maaskofu wetu wanatakiwa kuangalia haki za akina Mbowe kukiuka masharti ya dhamana na haki za mashoga tu.
Hiyo ndiyo kazi ya kanisa.
Asante kwa kutumegea uliyoyaona kwenye waraka.
Piiiiiiiiiiiples!!!!!!
 
Nawasihi wenye mamlaka wasikubali kutumwa na Jiwe kupoza majanga kama alivyotumiwa yule mama. Jiwe apambane mwenyewe na majanga aliyotengeneza
 
The more they talk, the more people are getting used to them, the more they are ignored!
 

Nyie mnataka????? Nyie na nani???
 
Waraka huo hauna tofauti na matamko ya wanasiasa. Tofauti ni kuwa unasomwa kwenye nyumba za ibada na mapadri na maaskofu.

Hauna madhara yoyote kwa serekali na ccm. Jiwe atabaki kuwa mtukufu jiwe, haambiliki.
 
Watanzania tusiotaka udikteta nchini mwetu wa kudharau katiba, Bunge, mahakama, haki za binadamu, kuchota pesa chungu nzima hazina bila idhini ya Bunge, kuteka, kutesa na kutoa roho za Watanzania wasio na hatia yoyote ile.

Nyie mnataka????? Nyie na nani???
 
Bora watowe waraka maana kichaa wetu hajielewi na Chuki zake sasa kumpa za mbowe wiki Tatum ndani mwanaye kafufuka au Tanzania imeongeza dollar ngapi kwenye reserve lazima wakemee pepo
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…