Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu libariki kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sunzu tuko wote, lakini sidhani kama unaweza kuvuja mpaka utoe hint hapa!Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Kwa kuwa ni tetesi basi kathibitishe kwanza kisha uje uandike habari za uhakika. Hao maaskofu huwa hawachelewi kurukana wanapotoa hizo nyaraka zao.Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
wakileta tu tunaweka kodi ktk sadakaKama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Afadhali kamanda.Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Nawasihi wenye mamlaka wasikubali kutumwa na Jiwe kupoza majanga kama alivyotumiwa yule mama. Jiwe apambane mwenyewe na majanga aliyotengenezaKama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
The more they talk, the more people are getting used to them, the more they are ignored!Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
....Forever in the shadow of a KICK!Maaskofu tupo nyuma yenu
Mababa Askofu tunawaomba mababa zetu msimame na sisi wananchi, hali ngumu baba zetu, tunaumia, tunanyanyasika, tusaidieni kumueleza ukweli huyu mzee wetu.
Najua amejitahidi kuwawekeni karibu ili kuwalainisha, amejitahidi kuwaiteni ili mkutane naye mara kadhaa, amejaribu kuwaiteni ili mshiriki uzinduzi wa Stiegle's , yote hii ili mlainike lakini nyinyi mkilainika sisi Twafa.
Mababa Askofu msituangushe, Ubaya haushindwi kwa kishindo kimoja, bali endeleeni kusukuma na kusukuma mpaka ubaya ushindwe.
Mababa askofu, simameni na wanyonge wa nchi hii.
Sisi hatutaki kile ambacho hawezi kutupa, sisi tunataka
1. Uhuru wa kujieleza waziwazi bila hofu ya kupotezwa
2. Tunataka haki za kisiasa kama zilivyoainishwa katika katiba na sheria ya vyama
3. Tunataka uwazi katika utendaji wa shughuli za serikali
4. Tunataka Demokrasia kwa mujibu wa katiba
5. Tunataka ulinzi na usalama wetu hatutaki watu kutekwatekwa
6. Tunataka haki katika chaguzi na si uonevu wa wakurugenzi na watangaza matokeo
7. Tunataka katiba mpya kama vile sisi kama Taifa tumeshakubaliana kuwa hii ya sasa haitutoshelezi
Hayo yangu ni machache tu mababa askofu. Tafadhali sana nawaombeni myasimamie hayo
Jiwe lazima ataomba "poo" kama sio kupagwa.
Christmas inaweza kupigwa marufuku kama zile sherehe zilizokuwa zifanyike hivi karibuni.
Nyie mnataka????? Nyie na nani???
Hakuna jambo kama hiloTetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.