Ni msanii wa hip pop kwa wale wakongwe wanamjua sanaNi nani huyo mtu? Anahusika na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msanii wa hip pop kwa wale wakongwe wanamjua sanaNi nani huyo mtu? Anahusika na nini?
Mjumbe wa nyumbaNi nani huyo mtu? Anahusika na nini?
Chanzo ni masela MaviUmenikumbusha enzi za marehemu Ng'wea..,kuna siku nilimkuta Msasani mwisho kule asubuh hana hata nguo nadhani nae alilewa sana usiku huo,....siku nyingine tena nilikutananae maeneo flani yaani yupo rafu kichizi/kachoka nadhani pia ni madawa yale.
Chaajabu baadhi ya wasanii wenzake na wadau wa muziki walikuwa wanajua hilo..,ila baada ya kufa ndio kila mtu anampa sifa na kutoa msaada na wakati kipindi yupo hai wala hakuwa anapata hizo sifa!! kwa jinsi nilivyokuwa namuona kwa hadhi ya Ng'wea hakustaili ile hali alihitaji msaada zaidi.
Na kwa Chid nadhani ni mpaka afe ndio watu waanze kushtuka japo najua kuna baadhi ya wadau walishataka kumsaidia..,lakini wasanii nadhani ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwny hilo swala la kumsaidia msanii mwenzao.
KweliHakuna atakaekusaidia kuishi maisha yako zaidi yako. Acha aishi maisha yake mtu akishafikia hatua ya kujiona yupo sawa na wakati hayupo sawa sio jambo jepesi kumtoa huko alipo, unadhani familia yake imempotezea?
R.I.P Geez Mabovu!!Chanzo ni masela Mavi
RIP Zizi
RIP Ngwair
RIP Pancho Latino
Chanzo cha yote ni masela Mavi
Hawa wasanii hawapendi kuingia kwenye huo uraibu, lakini mfumo mbovu wa usimamizi muziki hapa tz ndio unawaumiza na kujikuta wanatumbukia kwenye huo mtego wa madawa.Faida ya ngada hiyo!!
Yan ulimkuta hana nguo yuko uchi auUmenikumbusha enzi za marehemu Ng'wea..,kuna siku nilimkuta Msasani mwisho kule asubuh hana hata nguo nadhani nae alilewa sana usiku huo,....siku nyingine tena nilikutananae maeneo flani yaani yupo rafu kichizi/kachoka nadhani pia ni madawa yale.
Chaajabu baadhi ya wasanii wenzake na wadau wa muziki walikuwa wanajua hilo..,ila baada ya kufa ndio kila mtu anampa sifa na kutoa msaada na wakati kipindi yupo hai wala hakuwa anapata hizo sifa!! kwa jinsi nilivyokuwa namuona kwa hadhi ya Ng'wea hakustaili ile hali alihitaji msaada zaidi.
Na kwa Chid nadhani ni mpaka afe ndio watu waanze kushtuka japo najua kuna baadhi ya wadau walishataka kumsaidia..,lakini wasanii nadhani ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwny hilo swala la kumsaidia msanii mwenzao.
Familia huwa zinapambana sana na kufanya kila namna inayowezekana kumsaidia mwana familia anaekuwa kwenye changamoto hiyo, watu wengi hudhani familia imewatenga na kuwasahau watu wenye shida kama za chidi. Jibu ni hapana, wengi wakishakuwa na hali hiyo kwanza nyumbani hawatulii na huona sio eneo salama kwao kabisa. Na hii ni kwa sababu hujiona kuwa wapo sawa.Umesema ukweli japo ni mchungu. Dunia na maisha kwa ujumla hayana huruma. Ndiyo, watu kama hawa wakishafika hiyo stage ya uteja wanahitaji msaada kwani wenyewe wanakuwa hawana uwezo wa kujisaidia tena, lakini kiuhalisia kwa maisha ya kitanzania hili ni gumu kutokea. BTW si ni watu wa CCM hawa? Au inawapenda wanapokuwa wazima tu?
teja ni teja tu hata angepewa bilions atabaki kuwa teja. Kinachomsumbua ni kile alicholisha ubongo wake. Nakumbuka miaka flani Ray C kabla na yeye hajawa teja aliwahi kusema Chd Benz anatumia Madawa ya kulevya kilichofuata alimkung'uta ngumi za kutosha. Hivo suala ni la kwakwe yeye mwenyewe si la jamii wala taifa. Kipindi anafanya mziki mdo kipindi na wanzake kina Sugu. AY, FA , Lady JD na wengine pia walikuwa wanafanya mziki, wao waliwezaje kusastain?Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.
Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Masela Mavi unaowafuata wao ukiwa safi wapo na wewe ila ukiwa ovyo hawapo na wewe hio ndio inachowaumiza wengi, ifike wakati masela Mavi uachane nao tu ukiachana na masela Mavi Maisha yanajiset yenyewe ukikomaa nao mwisho ndio hivyo utaishiwa pumzi hivi wanakuona na wasikusaidie masela Mavi sio watuYaani uyaharibu maisha yako kisha utarajie msaada kwa wengine wakusaidie?
Upo sahihi sana. Miaka ile ya 2007 wanakuja kina Jah Rule Tanzania, Chid ndie alikuwa msanii kinara wa hip hop Tanzania anaye-repesent muziki wa hip hop anafanyiwa interview kuhusu ujio wa kina Jah Rule.Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.
Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Chid mboni alishapona au wewe unazungumzia nini Chid kinachomsumbua sasa hivi ni tungi anakunywa sana na alishashauriwa na Daktari aache mitungi Ila Mzee anarudi kule kule sababu ni masela wanaomzunguka wale masela wa Ilala wote anabidi awapige chini ndio wanaomrudisha SHIMONIKuna tetesi kuwa maza ake anamdekeza sana japokuwa si kazi rahisi kupambana na mraibu wa madawa ya kulevya wandugu,
Kunae ndugu mpaka sasa anaishi kama chokoraa wakati kwao uwezo upo tena mkubwa tu lkn ndo hivyo wameshindwa kumsaidia wakimpeleka vituoni anatoroka nk wameamua kumuacha ajipambanie hata akienda kwao hawamruhusu kuingia ndani anaishia nje
Kwani wasafi sio yake?Umeongea point. Wanyonyaji katika hiyo sekta ya music ndo wamewafikisha wengi hapo mahala oabaya walipofika, miongoni kwao Tod na q.chief. Vijana walikuwa na vipaji lakini wanyonyaji wakawadhibiyi na kuwakamdamiza na kiwataka wafate SHERIA zao kandamizi na wakiuliza tu wanapotezwa kwenye industry, muziki Yao haipigwi... management za kinyonyaji miongoni kwao marehemu Ruge na Joseph kusaga na kina chief kumbe... Diamond mjanja sana alkwasanukia mapema akatupa huko, ingawa mpaka Sasa sio kwamba yupo salama sana sababu bado wamemganda na wanampa percentage kidogo hapo wasafi...let's wait and see kama atafanikiwa kwenye hiyo seven media
Mimi sikubaliani na wewe. Enzi akiwa kwenye peak alikuwa ni msanii ambaye alikuwa ana shows nyingi ana make ela ndefu shida ni pale alipotaka kuishi maisha aliyokuwa anayaona kwenye TV ya kutembea na msululu wa watu na kuwalisha na kuwanywesha na kuishi the same lifestyle kama la black American movies.Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.
Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.