Eksipansheni jointiWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
SahihiNi kufanya lolote kupunguza maafa mkuu, sio rahisi kua hamna kinachoweza fanywa hata kusitisha matumizi ama kulishusha kabisa.
Sio mwisho wa siku tuanze lawama kama kawaida yetu.
Mmmh. "Halahala mti na macho." Hata hilo la K/K lilipiga mzigo muda mrefu ila kitu kilitokea juzi.Hayo tuliyasikia tangu 2006 wakati tunasoma.
Mpaka leo jengo lipo linapiga mzigo.
Wapakwa mafuta, watakaokufa kwny hilo jengo ni mbinguni Moja Kwa mojaHalafu waliojenga ni wayahudi
Hatuombei mabaya, lakini, "ukiona mwenzako ananyolewa..."Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
dah mbona ani hatari, wahusika wafanyie kazi hizi mambo si utani hata ninikuna mengine mawili yapo pale MUST mbeya,...ni hostel mbili zilijengwa na WABONGO,....zimejaa nyufa mpaka basi,..wahusika wanapaka rangi tu,.......
na hilo linatokea chuoni,..tena chuo cha engineering
Wahusika wapo na watafanyia kazi mambo ya kuisaidia mamlaka endapo litatokea la kutokea. Ila kwa sasa tuendelee.dah mbona ani hatari, wahusika wafanyie kazi hizi mambo si utani hata nini
Na Habari ndo ikaishia hapo au..........wanasubiri kwa hatua zaidi?Kwa Main campus sehemu niliyokua naweza kuishi kwa Amani ni Hall 6... Hizo za gorofa ndefu kuna kipindi watu walikua wanaenda kuchota maji chini wanapanda na Lift na zikawa zina tabia ya kukwama mara kwa mara, pia nakumbuka kuna Hall moja walisitisha kabisa kulaza wanavyuo baada ya kuinama!
Basi hakuna tatizo.Hapana. Sikuingia JF kujuwana na watu. Ningetaka kujuwana na watu ningekuwa verified member.
Naam, hapo ni KAZI kwa viwango, ukileta za kuleta Chali. Hata lami barabarani ni Safi .Nchi ya Tanzania inajiendea tu.Ndiyo maana Mimi niliamua kuhamia nchini Rwanda.Rwanda hakuna huu uhuni wa kujenga majengo chini ya kiwango .