PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Eksipansheni jointiWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.