Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qmmk daaah!TUNASUBURI HII KITU HII
View attachment 3155779
Likiinama unarekebishaje kwa ujuzi na vifaa vyetu hapa bongo?Kama hadi huko jalalani kwenye jiko la wasomi nako wasomi hawapigi kelele juu ya usalama wao basi kwwli tuna shida kama taifa.
Huenda lilirekebishwa, ukipata updates usisite kutujuza pia mdau.
Nakumbuka mwaka 2000, kulikuwa na vipande vipande vya zegezege vinadondokadondoka toka juu pale hall 5. Sijui leo hali ipojeWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Wasomi jinaLile hall watu walovyojazana kama kuku siku likianguka let's say usiku itakua na majanga matupu, tutapoteza wasomi wengi sana
Kama ni hivyo basi walifanya jambo makiniLile jengo pamoja na hall 5 yamefanyiwa ukarabati mkubwa sana,nadhani yalikua na kama miaka miwili hivi hayatumiki kupisha ukarabati.
Ni kufanya lolote kupunguza maafa mkuu, sio rahisi kua hamna kinachoweza fanywa hata kusitisha matumizi ama kulishusha kabisa.Likiinama unarekebishaje kwa ujuzi na vifaa vyetu hapa bongo?
Ni kubomoa au kusitisha matumizi lenyewe pamoja na jengo la jirani linaloweza kufikiwa likianguka hilo bovu.
Labda wanaliacha liwe makumbusho kivutio cha watalii mfano wa lilivyo inama jengo maarufu la Pisa Tower la Italy nalo lime inama halijabomolewa. Kumbukumbu ya wanasayansi maarufu imetokea hapo mmojawapo Galileo Galilei. Wenzetu walilifanyia ukarabati kulirekebisha kwa kupunguza ulalo toka nyuzi 5.5 mpaka 3.97.
Tunasubiri majanga halaf ndio tu respondWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Aisee nomaUsishhangae waliojenga hayo ya KKO waliishi humo hall 2
Usomi wa kutafutia Utajiri !pale hakuna wasomi
Amina!Mungu awanusuru vijana wetu, waiepuke hiyo ajali
NiliiShi PaleWakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Ina maana hayajafanyiwa marekebisho mpaka sasaHall 2, may be kama yamebadilishwa namba, Hall
Kwa kweli, hatua zichukuliwe mapema