DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
TUNASUBURI HII KITU HII
IMG_0256.jpeg
 
Kama hadi huko jalalani kwenye jiko la wasomi nako wasomi hawapigi kelele juu ya usalama wao basi kwwli tuna shida kama taifa.

Huenda lilirekebishwa, ukipata updates usisite kutujuza pia mdau.
Likiinama unarekebishaje kwa ujuzi na vifaa vyetu hapa bongo?
Ni kubomoa au kusitisha matumizi lenyewe pamoja na jengo la jirani linaloweza kufikiwa likianguka hilo bovu.
Labda wanaliacha liwe makumbusho kivutio cha watalii mfano wa lilivyo inama jengo maarufu la Pisa Tower la Italy nalo lime inama halijabomolewa. Kumbukumbu ya wanasayansi maarufu imetokea hapo mmojawapo Galileo Galilei. Wenzetu walilifanyia ukarabati kulirekebisha kwa kupunguza ulalo toka nyuzi 5.5 mpaka 3.97.
 
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.

Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Nakumbuka mwaka 2000, kulikuwa na vipande vipande vya zegezege vinadondokadondoka toka juu pale hall 5. Sijui leo hali ipoje
 
Likiinama unarekebishaje kwa ujuzi na vifaa vyetu hapa bongo?
Ni kubomoa au kusitisha matumizi lenyewe pamoja na jengo la jirani linaloweza kufikiwa likianguka hilo bovu.
Labda wanaliacha liwe makumbusho kivutio cha watalii mfano wa lilivyo inama jengo maarufu la Pisa Tower la Italy nalo lime inama halijabomolewa. Kumbukumbu ya wanasayansi maarufu imetokea hapo mmojawapo Galileo Galilei. Wenzetu walilifanyia ukarabati kulirekebisha kwa kupunguza ulalo toka nyuzi 5.5 mpaka 3.97.
Ni kufanya lolote kupunguza maafa mkuu, sio rahisi kua hamna kinachoweza fanywa hata kusitisha matumizi ama kulishusha kabisa.

Sio mwisho wa siku tuanze lawama kama kawaida yetu.
 
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.

Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
Tunasubiri majanga halaf ndio tu respond
 
Ukiona manafunzi wa chuo kikuu anasoma miaka yote mitatu bila kugoma, ni ama haelewi anachofundishwa au ana kariri masomo yake. ( prog. Chachage. S. Chachage? 2000s ) R.I.P
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.

Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi kujadiliwa. Kwa janga la kariakoo, nawasihi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pia watoe taarifa ya jengo hilo ambalo "linameza" maelfu ya wanachuo kwa staili ya kubebana.
NiliiShi Pale
 
Back
Top Bottom