Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,210
aki wewe bwana yaani wewe unaona tu hela ikitiririka kwanzia bandari, ngos na hata askari ccm huko mipakani, ona huruma mkuuhii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi