Sio wabinafsi wala wabaguzi hawa ni watu walioleta biashara na maendeleo kila kona ya nchi wangekuwa wabinafsi na wabaguzi wangefanya maendeleo yote kule Moshi na mji huu ungekuwa mkubwa kuliko Dar! Unapaswa kutambua kuwa mahali walipokimbia watu hawa hakuna mwingine anaweza kustawi pale!Moshi naku-support ndio maana ule mji umedoda una wakazi 221,000 mpk leo ukiziwa na miji ya juzi tu km Geita n.k. Wachaga ni wabinafsi mno na wabaguzi. Arusha hawana ubavu ndio maana uongozi wa kisiasa kuupata ni vigumu.
Mama Samia na Kijana Makonda wanafanya vizuri sana. Arusha na Kilimanjaro Zina shine
Ni muongo, labda uwe kizurule 24/7 hutulii kwako na huna kazi za kufanyaUyo chizi anasema ukikaa mwaka mmoja unawajua wakazi woteππ
We ni muongo jamani πHata maeneo kama cafe laziz, ngiwaranecha hawauzi hiyo bei.
Na kwanini ukae florida? π ukae unashindana na honi asbh za kina BM!!Tuache ubishi, kesho tukutane Florida saa tano ukanioneshe hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya 150k, mimi nitakupa 200k. Njoo inbox nikupe namba ya simu tuwasiliane.
Nilikua naenda pale Booking za Kilimanjaro Mkuu. Angekubali kwenda nionesha hizo nyumba za 150K nilimwambia nitampa 200K ila katokomeaNa kwanini ukae florida? π ukae unashindana na honi asbh za kina BM!!
Kilicho kutoa kwako ukaenda Arusha nini?Uhalisia wa mambo ndio ulivyo na ndio maana wengi wenu mmekimbilia dar. Ukikuta palangyo ana duka la spare basi tegemea kuwaona akina ayo, na ukikuta mushi asenga ana bar basi tegemea kuwaona akina laswai.
Jiji la arusha kwa uchafu linaongoza na ni kwa maeneo mengi hata uko njiro ambapo ndio ushuani walienda weka dampo huko. [emoji2357]
Endelea kujidanganya, kinachosemwa watu wamekipitia, kwaiyo usilazimishe mtazamo wako ndio uwe uhalisia, halafu swala la walipopakimbia wachaga mwengine hawez huo ni uwongo, saiz kriakoo mkinga na mbena wanawakimbiza wachaga, na kule kwao nyanda za juu kusini(iringa, mbeya, njombe, sumbawangq, songea, tunduma) ndio kabisaaa wanatawala kila kitu.Sio wabinafsi wala wabaguzi hawa ni watu walioleta biashara na maendeleo kila kona ya nchi wangekuwa wabinafsi na wabaguzi wangefanya maendeleo yote kule Moshi na mji huu ungekuwa mkubwa kuliko Dar! Unapaswa kutambua kuwa mahali walipokimbia watu hawa hakuna mwingine anaweza kustawi pale!
100% MkuuHali ya mzunguko wa fedha imeshuka. Sio Arusha tu Tz nzima. Watu badala ya kujadili mada husika wanaanza ushabiki kama kawaida.
ppf kuna nyumba ya laki tatuππππππππNdiyo mitaa ya premier palace kuja hadi huku mitaa ya cafe laaziz na uelekeo wa kwenda florida round about nyumba nyingi unapata kwa 150k. Huko njiro kwenyewe saivi tena ppf unapata self contained kwa 300k kwa mwezi. Itakuwa umejenga ndio maana hata bei ya nyumba za kupanga hapo arusha kwa sasa huzifahamu
Baada ya dar na dodoma, Arusha ndio mji unaobebwa na serikali, nenda mbeya ukapate picha ya miji iliyotengwa na serikaliNi wivu tu mnaionea Arusha
Licha ya serikali kuutelekeza huu mji kutokana na siasa za upinzani
Bado Arusha ndio the best place in Tz weather + hakuna misongamano
Ndio mji kinara kwa kupokea watalii na kuingiza fedha za kigeni
Leo hii mji kama mpanda na sumbawanga kuna stendi za kisasa Arusha ni jiji lakini hakuna kitu sad
Ipo siku tu na sisi tutapata hiyo miundombinu na sisi
Maana halisi #genevaofAfrica
View: https://youtu.be/eoO1KzFNE4s?si=Z0NEZBTyvkdadM8V