Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

Rudi kijjn ukalime mkuu, mvua zote hizo ww umejificha kwenye kibanda Cha kubetia unasikilizia ushinde mil. 200😄
Unakereka sana tukihoji haya ndugu?

FtHA4BjXwAEJB4j.jpeg

FtDX74wX0AQK8IT.jpeg

FtC4e3SWIA8yfpz.jpeg

Bado unajiona una akili kichwani?

Kwenye list ya Dkt. Mollel lazima uwe na nafasi muhimu sana.
 
Haiwezekani mtu unalima unajishugulisha ukasema upo Hali mbaya kimaisha, kwani hao mafisadi wamekuvunia mahindi yako shambani, wamekuibia mifugo yako, wamekunyang'anya ardhi yako, wamekubomolea makazi yako?

Mawazo duni kabisa ya mtu ambaye bila shaka ana ki ID cha msaada:

Screenshot_20230408-103555.jpg

Miaka 8 ya kazi una posts 265.

No wonder!
 
Haiwezekani mtu unalima unajishugulisha ukasema upo Hali mbaya kimaisha, kwani hao mafisadi wamekuvunia mahindi yako shambani, wamekuibia mifugo yako, wamekunyang'anya ardhi yako, wamekubomolea makazi yako?

Hai wanaolima huko vijijini mbona ndio maskini?. Acheni kutetea ujinga. Hali ya Maisha ni mbaya, Kama wewe umeshiba kaa kimya, usiwasemee wenye njaa.
 
Hao uliowataja unataka wakakulimie au? Hii tabia ya utegemezi na kudhani watu Fulani ndio wekusababishia Ugumu wa Maisha ni mbaya sana.
Hata Marie Antoinette, mke wa Mfalme Louis XVI wa Ufaransa naye alikuwa na majibu ya aina hii kwa watu wenye njaa!

Kilichokuja kumkuta na mume wake baada ya hizo kauli zake; kimebakia kuwa ni historia kwa nchi ya Ufaranda vizazi na vizazi.
 
NI AIBU KWA MTANZANIA KULALAMIKIA VITU KAMA,
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
AMBAVYO VINALIMWA HAPAHAPA TZ...
Mpo mijini mnazurulazulura na mikeka mikononi mmeacha maeneo ya kulimia wanachungia ngo'mbe tu, halafu daily kulalamika bei ya unga wa ugali serious! Haya njoo uchukue debe mbili za mahindi ukasage unga

Acha dharau, kwa hivyo kila mtu arudi kijijini akalime?. Hai wanaolima vijijini mbona bado ni maskini wa kutupwa. Kama umeshiba usizuie wenye shida kuongea.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kweli kiongozi, watu wanazurura na mikeka, soksi na boxa kwenye baa na maeneo mbalimbali huko alafu anataka ale kwa bei rahisi. Maisha hayarudi nyuma usiombe yakuache utajuta milele

Acheni kebehi, Kama mambo yenu yapo vizuri kaeni kimya, wacheni wenye changamoto wapaze sauti.
 
Hata Marie Antoinette, mke wa Mfalme Louis XVI wa Ufaransa naye alikuwa na majibu ya aina hii kwa watu wenye njaa!

Kilichokuja kumkuta na mume wake baada ya hizo kauli zake; kimebakia kuwa ni historia kwa nchi ya Ufaranda vizazi na vizazi.
Hakuna kitu kama hicho,fanya kazi acha excuses za kijinga.
 
Kamwe maisha hayamsubiri mvivu na mjinga. Pambana uende nayo sambamba. Bidhaa hazijawahi kuwa bei nafuu kwa mtu asiyejituma na kutumia akili

Kwanini hazijawahi kuwa Bei nafuu?. Kuna watu wanapiga kazi ila Maisha bado magumu. Tuache kebehi. Kama wewe upo vizuri kaa pembeni acha wenye changamoto wajielezee.
 
Rudi kijjn ukalime mkuu, mvua zote hizo ww umejificha kwenye kibanda Cha kubetia unasikilizia ushinde mil. 200😄

Ingekuwa hivyo wote wanaokaa vijijini na kulima wangekuwa mabilionea. Punguza dhihaka kwa wenye shida.
 
Ingekuwa hivyo wote wanaokaa vijijini na kulima wangekuwa mabilionea. Punguza dhihaka kwa wenye shida.
Kwani ss tunakaa kijjn ili tuwe mabilionea Nani kakwambia mkuu, nasema ni aibu kulilia bei za unga huku mmekaa mijini mnacheza na mikeka ya mhindi tu mmeacha ss tunauza mahindi debe 25000/
 
Mawazo duni kabisa ya mtu ambaye bila shaka ana ki ID cha msaada:

View attachment 2580583

Miaka 8 ya kazi una posts 265.

No wonder!
Hivi kabisa mtu miaka hii ya Sasa unalia na bei za unga wa ugali, na mahindi yanastawi popote pale nchini, halafu mtu unataka serikali iweke ruzuku kwenye unga serious! Kijana achana na uvivu, unatutia aibu..Sasa ufisadi unahusiana vipi na ww kushindwa kuwa na unga? Achana na mikeka mkuu
 
Muda ukifika, badala ya wanyonge kuhamia Burundi; kibao kitawageukia. Endeleeni tu kupuuzia changamoto zinazo wakabili watu wa hali ya chini.
Sawa lakini hao unakoita Wanyonge mara nyingi hawajui wanataka nini na hata kikibadilika watakaoshika madaraka sio Wanyonge ila matapeli wachache kama nyie and so mambo yanakuwa Yale Yale..

Nitajie Nchi Moja tuu ambayo Wanyonge walipokiwasha mambo Yao yalikuwa mazuri.
 
Hivi kabisa mtu miaka hii ya Sasa unalia na bei za unga wa ugali, na mahindi yanastawi popote pale nchini, halafu mtu unataka serikali iweke ruzuku kwenye unga serious! Kijana achana na uvivu, unatutia aibu..Sasa ufisadi unahusiana vipi na ww kushindwa kuwa na unga? Achana na mikeka mkuu

Kwani wewe ni yupi hapo ndugu?

Screenshot_20230322-230708.jpg

Rudi kawaambie waliokutuma kuleta utetezi uchwara huku, maji yamekuzidi kimo.
 
Back
Top Bottom