ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nani kakwambia? Hii ni dhana ya kishambaKosa walilofanya walitangaza mapema kiwango cha mishahara mipya mwaka jana,so wafanyabiashara wakawahi pandisha bei kabla,walipokuja kuongeza wakaongeza mshahara mbuzi.
Bora wasingetangaza
Haviwezi patikana Kwa kulalamika,ingieni shambaniHapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400
Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100
Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000
Sio kazi ya Rais kupambana Kwa level ya individual ndio maana ukieikia fursa changamkia kulalamika hakiwezi kubadili Hali ya mamboUkiona hali inazidi kuwa mbaya, tazama mahitaji ya familia yako, ili uone yale yasiyoyalazima uyaondoe.
Mahitaji mengine huwa tunayaendekeza kwa sababu za kimazoea tu, kama vitafunwa asubuhi, muhimu washibe asubuhi, watashiba nini na vipi, jiongeze baba wa familia kwa kushirikiana mawazo na mama yao, wanawake wengi huwa wako vizuri kwenye budget.
Muache Samia apambane kwenye ngazi ya taifa, wewe pambana na mwenzio kwenye ngazi ya familia.
Kama unajua mapori yapo na utaendelea kuzaa usilalamikie serikali shika jembe kalimie chakula Cha Watoto wakoMapori still yapo mengi tza hatuna tatizo la overpopulation,watu waendelee kuzaa tu.ukitoka tu kibaha kilometer 3 nje ni mapori tupu.
Tuache kukaa mijini,fursa zipo maporini huko
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Wameegesha matako mjini eti wanataka mkulima akamulike Kwa jasho na shuruba then waje kuiambia serikali ilazimishe bei za mazao ya walioumua wanavyotaka wewe.Maisha yakiwa magumu sana acha kununua vifurushi vya internet nunua chakula na kama unacho watumie Hela Ndugu zako wanunue chakula
Wewe umeona anajengea wapi Hilo daraja kubwa? Rais anaweka Nguvu kwenye Huduma za jamii na Leo Yuko live anazindua mradi wa kupeleka umeme kwenye shule zote za Vijijini,Vituo vya Huduma za Afya na maeneo ya migodi Ili ku boost uzalishaji huko Vijijini.Nilimsikia akisema anakopa ili afanye kitu cha kuacha alama, hivi legacy inajengwa kwa kuacha daraja kubwa au flyover!? Nyerere aliacha legacy dunia nzima kwa aina ya uongozi, fikra na falsafa zake, leo legacy imekuwa kuacha miradi mikubwa mikubwa kwa gharama ya kuacha nchi kwenye madeni yasiyotamanika.
Hivi kweli hii ndiyo namna ya ku-manage uchumi kwenye nchi maskini kama Tanzania! badala ya kuwekeza kwenye maendeleo ya wananchi walio wengi unaenda kuwekeza kwenye mamiradi yasiyo na kichwa wala miguu yanayotumia pesa nyingi, kununua ndege kwa cash, bila kusahau matumizi ya anasa ya serikali maviieite huku ukikamua hata savings ndogo za watu kwa njia ya tozo.
Ajira hazitolewi, mishahara haieleweki......pesa zinaenda kulipa mikopo iliyochukuliwa kwa pupa.
Ambae hakuokotwa majalalani aliwatoa nyie Umma kwenye umaskini ni nani? Nitajie nifunge account jfSasa yule mama Samia kweli unadhani hata anaelewa mfumuko wa bei ni nini? Yani kiongozi mkubwa wa nchi watu wamemuokota okota tu huko majalalani ndio autoe umma wa watanzania kwenye umasikini? Mipango endelevu ya taifa husukwa na watu smart sio hawa wakina babu tale, msukuma, shangazi, na wakina Amos Makala
CCM yote matakataka tu zero brain.Ambae hakuokotwa majalalani aliwatoa nyie Umma kwenye umaskini ni nani? Nitajie nifunge account jf
By the way watu wengi wanaishi Vijijini nyie wababgaizaji wa mjini msiotaka kazi ngumu endeleeni kulalamika..Haya uliyoandika hapa yangekuwa yamekamilika kama ungeonesha role ya serikali, na vipi serikali imetimiza wajibu wake kufanikisha hilo. Nakuona unaendelea kuficha madhaifu ya serikali kwenye hili suala, naamini sababu inayokufanya uwe hivyo ni ile ile asali.
Kuwaambia watu waache kukimbilia kazi nyepesi za kubangaiza, wakati ndizo zilizopo, kwasababu serikali imeshindwa kuwapa wahitimu wa vyuo kazi nzito unazotaka wafanye, ni kuwaonea wapambanaji, show some respect!.
Serikali inayojielewa, ikishatambua changamoto wanazopitia raia wake, lazima itafute namna ya kuwapunguzia maumivu, mfano, serikali ikishajua raia wake wengi wanafanya kazi nyepesi, zinazowapa kipato kidogo, ni lazima ifanye iwezalo kupunguza mfumuko wa bei, hawa wapambanaji hawawezi control hilo.
Zaidi, unaposema watu watazame family planning, hapa napo unatengeneza tatizo jingine mbele ya safari, tunaona kwenye baadhi ya nchi zilizoendelea, hata kama teknolojia inayowarahisishia kufanya kazi zao, usiyatazame haya mambo kwa jicho la upande mmoja.
Kama serikali haichukui hatua chukua wewe, pia tafuta pesa nyingi ili uache malalamiko na kulialiaEe Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya Hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Awali ya yote Samia mama naomba elewa Hali za Watanzania ni mbaya Sana na inatisha kweli kweli [emoji24][emoji24][emoji24]
Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je viongozi wetu hamuoni jinsi wananchi wanavyo teseka
Ukitaka kujuwa udhaifu wa mtu mtese usimpe chakula nyie kama viongozi juu ya hili mmeliweza wananchi hawana chakula kabisa
Swali la kujiuliza mama hivi kweli shilling 10000 haitoshi kabisa Kwa bajeti ya siku kwa familia mfano mdogo tuu nikuonyeshe mama
Familia yenye watu 5 tu baba mama na watoto 3
Asubuhi baba aache 10000
Asubuhi wanunue vitafungwa tu 2000
Watoto wapewe nauli za shule 1000Γ3=3000 hii ni nauli pamoja na hela ya kula shuleni
Mchana mama haha chochote labla mama amejikaza kanunuwa mihogo ya 1000 na bibi nyingi Akala
Mfukoni imebaki 4000 je hii hela itatosha kwa chochote kile ila waweze kula jioni
Mchele kilo ni 3500
Mafutaa pishi ni 500
Mkaa 2000
Mboga za majani 1000
Nyanya +karoti + kitunguu 2000
Je swali kwenye Ile 10000 baba alio acha asubuhi imebaki shingapi
Naomba ujue kitu kimoja mama watu wanao umia juu ya huu mfumuko wa bei ya chakula ni wananchi wa chini sio wa juu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Je wewe kama RAIS una waza juu ya hili just imagine wewe unatumia shingapi kwa siku juu ya chakula jaribu kuchukuwa 10000 alafu ujaribu kuibajetia kama itatosha kwa chochote kwanzia asubuhi Hadi jioni
Ushauri wangu huu ni Muda muafaka wa serikali kusitisha kuuza nafaka nje mama naomba achana na Bashe kabisa huyu ni mfanyabishara mkubwa wa mahindi Kenya na wewe unalijuwa Hilo
Tueni Yale mazao yaliyopo kwenye ghala la taifa yauzeni kwa bei nafuu maana Hali ni mbaya mtaani huku
Wekeni mikakati ya kuboresha sekta ya kilimo kwa kuwapa vijana mikopo wakalime ili kukabiliana na hili tatizo la njaa siku za mbeleni huko
Ukiendele kufubaza shingo juu ya hili nililo kuambia tutakumbana na baa la njaa ifikapo mwezi wa 6 mwaka huu
Pia angalia mishahara ya watanzania sio rafiki kabisa na Hali ya uchumi ilivyo
Una mlipa mtu 300000 kwa mwezi huyu mtu kulingana na hesabu ya siku anapokea 10000 hapo bado hajalipa Kodi, NSSF anabakiwa na shingapi hapo lakimbili na nusu je hiyo laki mbili na nusu itatosha kumwendesha maisha kwa mwezi mzima embu fikirieni juu ya hili
Boresheni mishahara kwa sector zote private sector hawajaongezewa hela Hadi saa hizi Ina maana Hawa sio Watanzania je gharama za maisha zimepanda kwa wafanyakazi wa serikali tuu
Mnakwenda kutengeneza kizazi ambacho ni hatari sana Kwa hili taifa
Hakuna ajira Kwa vijana na wanao hitumu ni wengi je Nini kinaenda kutokea Hadi ifikapo 2035
Sina mengi ya kuyasema zaidi ya hayo kwa unyenyekevu mkubwa na shukuru mwenyezi Mungu kwa kunifungulia haya na kuyaona na kukueleza mama nimekuwa mnyenyekevu kwako kwaajili ya watanzania wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kingine japo sio Cha mwisho angalia mama swala la vifurushi vimekuwa ni hatari sana
Shilingi elfu Moja unapata MB 490 mama hii sio Haki kabisa nape ni kidonda katika hii wizara haiwezeka kuwa hivi mnawanyosha Sana wananchi wa chini SEMA neno Moja juu ya hili swala na hakika utarejesha matumaini kwa wananchi wa Hali ya chini
[emoji120][emoji120][emoji120]
Wasio wafanyakazi na ambao Wana toil zaidi inakuaje?
Kwa hiyo unataka watu tulime halafu tuzuiwe kwa kuuza mazao yetu kama zamani? Ukitaka njoo mikoani na wewe ulimeEe Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya Hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake ππππ
Awali ya yote Samia mama naomba elewa Hali za Watanzania ni mbaya Sana na inatisha kweli kweli πππ
Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je viongozi wetu hamuoni jinsi wananchi wanavyo teseka
Ukitaka kujuwa udhaifu wa mtu mtese usimpe chakula nyie kama viongozi juu ya hili mmeliweza wananchi hawana chakula kabisa
Swali la kujiuliza mama hivi kweli shilling 10000 haitoshi kabisa Kwa bajeti ya siku kwa familia mfano mdogo tuu nikuonyeshe mama
Familia yenye watu 5 tu baba mama na watoto 3
Asubuhi baba aache 10000
Asubuhi wanunue vitafungwa tu 2000
Watoto wapewe nauli za shule 1000Γ3=3000 hii ni nauli pamoja na hela ya kula shuleni
Mchana mama haha chochote labla mama amejikaza kanunuwa mihogo ya 1000 na bibi nyingi Akala
Mfukoni imebaki 4000 je hii hela itatosha kwa chochote kile ila waweze kula jioni
Mchele kilo ni 3500
Mafutaa pishi ni 500
Mkaa 2000
Mboga za majani 1000
Nyanya +karoti + kitunguu 2000
Je swali kwenye Ile 10000 baba alio acha asubuhi imebaki shingapi
Naomba ujue kitu kimoja mama watu wanao umia juu ya huu mfumuko wa bei ya chakula ni wananchi wa chini sio wa juu ππππ
Je wewe kama RAIS una waza juu ya hili just imagine wewe unatumia shingapi kwa siku juu ya chakula jaribu kuchukuwa 10000 alafu ujaribu kuibajetia kama itatosha kwa chochote kwanzia asubuhi Hadi jioni
Ushauri wangu huu ni Muda muafaka wa serikali kusitisha kuuza nafaka nje mama naomba achana na Bashe kabisa huyu ni mfanyabishara mkubwa wa mahindi Kenya na wewe unalijuwa Hilo
Tueni Yale mazao yaliyopo kwenye ghala la taifa yauzeni kwa bei nafuu maana Hali ni mbaya mtaani huku
Wekeni mikakati ya kuboresha sekta ya kilimo kwa kuwapa vijana mikopo wakalime ili kukabiliana na hili tatizo la njaa siku za mbeleni huko
Ukiendele kufubaza shingo juu ya hili nililo kuambia tutakumbana na baa la njaa ifikapo mwezi wa 6 mwaka huu
Pia angalia mishahara ya watanzania sio rafiki kabisa na Hali ya uchumi ilivyo
Una mlipa mtu 300000 kwa mwezi huyu mtu kulingana na hesabu ya siku anapokea 10000 hapo bado hajalipa Kodi, NSSF anabakiwa na shingapi hapo lakimbili na nusu je hiyo laki mbili na nusu itatosha kumwendesha maisha kwa mwezi mzima embu fikirieni juu ya hili
Boresheni mishahara kwa sector zote private sector hawajaongezewa hela Hadi saa hizi Ina maana Hawa sio Watanzania je gharama za maisha zimepanda kwa wafanyakazi wa serikali tuu
Mnakwenda kutengeneza kizazi ambacho ni hatari sana Kwa hili taifa
Hakuna ajira Kwa vijana na wanao hitumu ni wengi je Nini kinaenda kutokea Hadi ifikapo 2035
Sina mengi ya kuyasema zaidi ya hayo kwa unyenyekevu mkubwa na shukuru mwenyezi Mungu kwa kunifungulia haya na kuyaona na kukueleza mama nimekuwa mnyenyekevu kwako kwaajili ya watanzania wote πππππ
Kingine japo sio Cha mwisho angalia mama swala la vifurushi vimekuwa ni hatari sana
Shilingi elfu Moja unapata MB 490 mama hii sio Haki kabisa nape ni kidonda katika hii wizara haiwezeka kuwa hivi mnawanyosha Sana wananchi wa chini SEMA neno Moja juu ya hili swala na hakika utarejesha matumaini kwa wananchi wa Hali ya chini
πππ
Hivi tunavyoongea maandamano yameanza kiripotiwa mataifa mbalimbali,[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Wameegesha matako mjini eti wanataka mkulima akamulike Kwa jasho na shuruba then waje kuiambia serikali ilazimishe bei za mazao ya walioumua wanavyotaka wewe.
Kwa hili Huwa naunga mkono serikali mia mia na nilichukua sana sana Serikali ilipopunguza tozo kisa tuu wanaoguswa ni watu wa Mjini wakati walijua kwamba tozo ni Kwa Ajili kuwapa nafuu ya Huduma za jamii watu wa Vijijini,ila yenyewe yanataka tupangia bei za mazao yetu, pumbavu sana.
tatizo mnakimbilia kukaa mjini wakati hamna kipatoHapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400
Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100
Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000
Ni ngumu na mbaya sana kupita kiasi kisichovumilika tenaEe Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya Hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake ππππ
Awali ya yote Samia mama naomba elewa Hali za Watanzania ni mbaya Sana na inatisha kweli kweli πππ
Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je viongozi wetu hamuoni jinsi wananchi wanavyo teseka
Ukitaka kujuwa udhaifu wa mtu mtese usimpe chakula nyie kama viongozi juu ya hili mmeliweza wananchi hawana chakula kabisa
Swali la kujiuliza mama hivi kweli shilling 10000 haitoshi kabisa Kwa bajeti ya siku kwa familia mfano mdogo tuu nikuonyeshe mama
Familia yenye watu 5 tu baba mama na watoto 3
Asubuhi baba aache 10000
Asubuhi wanunue vitafungwa tu 2000
Watoto wapewe nauli za shule 1000Γ3=3000 hii ni nauli pamoja na hela ya kula shuleni
Mchana mama haha chochote labla mama amejikaza kanunuwa mihogo ya 1000 na bibi nyingi Akala
Mfukoni imebaki 4000 je hii hela itatosha kwa chochote kile ila waweze kula jioni
Mchele kilo ni 3500
Mafutaa pishi ni 500
Mkaa 2000
Mboga za majani 1000
Nyanya +karoti + kitunguu 2000
Je swali kwenye Ile 10000 baba alio acha asubuhi imebaki shingapi
Naomba ujue kitu kimoja mama watu wanao umia juu ya huu mfumuko wa bei ya chakula ni wananchi wa chini sio wa juu ππππ
Je wewe kama RAIS una waza juu ya hili just imagine wewe unatumia shingapi kwa siku juu ya chakula jaribu kuchukuwa 10000 alafu ujaribu kuibajetia kama itatosha kwa chochote kwanzia asubuhi Hadi jioni
Ushauri wangu huu ni Muda muafaka wa serikali kusitisha kuuza nafaka nje mama naomba achana na Bashe kabisa huyu ni mfanyabishara mkubwa wa mahindi Kenya na wewe unalijuwa Hilo
Tueni Yale mazao yaliyopo kwenye ghala la taifa yauzeni kwa bei nafuu maana Hali ni mbaya mtaani huku
Wekeni mikakati ya kuboresha sekta ya kilimo kwa kuwapa vijana mikopo wakalime ili kukabiliana na hili tatizo la njaa siku za mbeleni huko
Ukiendele kufubaza shingo juu ya hili nililo kuambia tutakumbana na baa la njaa ifikapo mwezi wa 6 mwaka huu
Pia angalia mishahara ya watanzania sio rafiki kabisa na Hali ya uchumi ilivyo
Una mlipa mtu 300000 kwa mwezi huyu mtu kulingana na hesabu ya siku anapokea 10000 hapo bado hajalipa Kodi, NSSF anabakiwa na shingapi hapo lakimbili na nusu je hiyo laki mbili na nusu itatosha kumwendesha maisha kwa mwezi mzima embu fikirieni juu ya hili
Boresheni mishahara kwa sector zote private sector hawajaongezewa hela Hadi saa hizi Ina maana Hawa sio Watanzania je gharama za maisha zimepanda kwa wafanyakazi wa serikali tuu
Mnakwenda kutengeneza kizazi ambacho ni hatari sana Kwa hili taifa
Hakuna ajira Kwa vijana na wanao hitumu ni wengi je Nini kinaenda kutokea Hadi ifikapo 2035
Sina mengi ya kuyasema zaidi ya hayo kwa unyenyekevu mkubwa na shukuru mwenyezi Mungu kwa kunifungulia haya na kuyaona na kukueleza mama nimekuwa mnyenyekevu kwako kwaajili ya watanzania wote πππππ
Kingine japo sio Cha mwisho angalia mama swala la vifurushi vimekuwa ni hatari sana
Shilingi elfu Moja unapata MB 490 mama hii sio Haki kabisa nape ni kidonda katika hii wizara haiwezeka kuwa hivi mnawanyosha Sana wananchi wa chini SEMA neno Moja juu ya hili swala na hakika utarejesha matumaini kwa wananchi wa Hali ya chini
πππ
Ukiwa chawa halafu kichwani mweupe ni mzigo....Wewe umeona anajengea wapi Hilo daraja kubwa? Rais anaweka Nguvu kwenye Huduma za jamii na Leo Yuko live anazindua mradi wa kupeleka umeme kwenye shule zote za Vijijini,Vituo vya Huduma za Afya na maeneo ya migodi Ili ku boost uzalishaji huko Vijijini.
Endeleeni kuzunguka mjini,jitu linaropoka kama taahira ,lile limtu lenu miaka 7 halijaajiri.Unaposema Ajira hazitolewi unamaanisha nini? Hadi Sasa chini ya miaka 2 Rais kaajiri watu zaidi ya 55,000 na kama unabisha ingia sekretarieti ya Ajira saizi..
Endeleeni kuabudu yule marehemu wenu na Bado mtaisoma namba maana mamiradi ya marehemu ukiacha kuwa expensive ni tembo mweupe na yataendelea kutumia Kodi za umma kuyaendesha badala yangeleta Tija.
Watzn sio wajinga wa kuandamana kisa njaa zako, yaani mm niandamane kisa njaa zako?Hivi tunavyoongea maandamano yameanza kiripotiwa mataifa mbalimbali,
Endeleeni kupuuza sauti za Raia, itawatokea puani,
Mnapandisha Bei ya mbolea, na mbolea wanauziwa madalali Si wakulima halafu mnawambia wakalime,
Wakivuna mazao mnawalangua Kwa Bei chini na mnaweka Kwa maghala na kuuza nje ya nchi,
Hii ni 2023, mtatoka mapangoni mlikojificha. Hali inayoendelea haitapita hivi hivi,
HUKUMU juu ya viongozi waovu imeamriwa.
Tusubiri.