Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Mimi huwa nikifika kule nakaa nawaangalia sana yani unakuta mtu yupo na simu tu anazuga kwenye maduka mara hapa mara kule ila kufika jion mwamba anaondoka na hela ndefu halafu yupo smart mbayaDaaha mkuu tunapambana hivo hivi Mungu yupo pamoja na sisi vijana.
Ila hali niliyoiona hata kule kariakoo.
Mkuu pesa zipo na kwenye watu ndo pesa zinapatikana ila sasa zinapatikana vipi hapo ndo code zilipo
Mkuu we acha tuu.Mkuu maisha ni vita aisee yani nikupigana mpaka mwisho
Huyo mdada sijui anafanya nini mkuu ila anatoka asbh anarud saa tatu usikuAnajishughulisha na nini mkuu
Hii ji serious mkuu,hahaha..
Yaani mkuu sijui mi labda nakosea kutafsiri.Usiwe na roho mbaya ishi kwa code, fanya kile moyo wako unataka.
Roho mbaya si za watu wote mkuu, kama sio mambo zako usiige wala usiwe na roho mbaya kwa kupretent.
Waache wenye nazo wapete nazo.
Hakuna kitu kinaniumiza moyo kama hicho aiseeMkuu wanasema kama ukoo wenu ni masikini basi kukwepa hiyo chain ni ngumu aiseer
Daaah aiseeee...hao ndo mawinga hao...Mimi huwa nikifika kule nakaa nawaangalia sana yani unakuta mtu yupo na simu tu anazuga kwenye maduka mara hapa mara kule ila kufika jion mwamba anaondoka na hela ndefu halafu yupo smart mbaya
Daaah mkuu hii imenifanya nifikilie sana..Thanks aisee. Nimepambana sana mwanzo ilikua na faida ila tokea 2023 ni kama nawafaidisha wafanyakazi, mwenye fremu, walinzi na TRA.
Mkuu acha tu..Hakuna kitu kinaniumiza moyo kama hicho aisee
Yaani lazima kwenu kue na mtu flani ametusua, ndio rahisi na wewe kutoboa. Nna mwanangu nafanya nae mishe tukikwama wote, yeye kwao kapewa support ya 10m imagine.Hii ji serious mkuu,
Kutoka kwenye chain ya umaskini ni kimbembe
Wanaokula maisha wenye fremu tu. Kila mwaka wanaongeza 50k.Daaah mkuu hii imenifanya nifikilie sana..
Wafanya biashara tunapitia mazito sana
Duuuh kweli hatufanani...Yaani lazima kwenu kue na mtu flani ametusua, ndio rahisi na wewe kutoboa. Nna mwanangu nafanya nae mishe tukikwama wote, yeye kwao kapewa support ya 10m imagine.
Support man. Arudishe ya nn kwao mambo sio haba kivile. As long wameona jamaa anapambana, kama wamembust.Duuuh kweli hatufanani...
10m hiyo anapewa sio kwamba atarudisha...?
Life hapa mjini...uone tu mtu anainjoi na mfanya Biashara jua kuna sehemu ngumu alipitia mpaka amefikia hapoWanaokula maisha wenye fremu tu. Kila mwaka wanaongeza 50k.
Daaaah wakati kuna wengine hiyo pesa tunaitafuta huku kwa jasho yaaani kikiri kakara...Support man. Arudishe ya nn kwao mambo sio haba kivile. As long wameona jamaa anapambana, kama wamembust.
Huu mwaka nasubiri uishe tu, 2025 naweka Overdrive nione.Daaaah wakati kuna wengine hiyo pesa tunaitafuta huku kwa jasho yaaani kikiri kakara...
Mjini hapa hatufanani.
Na haya mambo ni kama bahati sijui mana kuna watu unakuta wana pambana kweli kweli aiseee ila wapi
Mpaka mkopo ili upate inataka connection, hii dunia katili zaidi ya gaidiUkiskia dunia haina huruma basi jua ni mjini hasa daslam.
Huu mji watu hawana huruma, no kujuana sana. Wazawa wanajua kuishi kwa code ila wageni hupigwa mno na wakuja wenzao maana wanajuana madhaifu yao.
Ishi kwa code.
Yaani kuna mda najiuliza hivi mbona hakuna usawa aiseeMpaka mkopo ili upate inataka connection, hii dunia katili zaidi ya gaidi
Sikuona hii Kipepe. Mitaa ya Mawasiliano, Electronics kuanzia simu na accessories zake, nilikua naagiza China.Aisee ilikua biashara gan maeneo gan, hii nchi kutoboa kwa njia Halali tabu sana