Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Tangu lini CCM ikaanzisha mradi na kuukamilisha kikamilifu? Hawa majitu ni ovyo kabisa. Panaya wakubwa!
 
CCM si ndio walikuwa wanajisifia kwenye vipeperushi ma matangazo kuwa serikali ya "mwafulani" imeleta sijui esijiara...
 
Nchi ya kipumbavu kuwahi kutokea katika dunia hii. Sijawahi kuona nchi ya kiquma kama hii tangu nizaliwe.
Sahv kwenye miradi watu wanapiga tu..hakuna wanachokifanya

Ova
 
Hata usipokamilika sawa tuu maana hauna faida yeyote.

Mwisho Kigogo anaongea ujinga kutaka kumtetea mkandarasi wa mchongo aliyefilisika.
BRT stands, mmesha-compromise standards set ili mhondomole minoti, kaanzie Mbagala kule, kwanini haijazindulia ile mpaka leo?

Superdoll anafyatua trailers kwa kasi ya MWANGA, mabasi yanaingizwa kwa vurugu, mara BM, mara Abood, mara Ester...pale Riverside na huku Loyola sec, malori ya mizigo kama msafara wa siafu

Kila mwizi anaendesha gari siku hizi, hamna hamna, 47m ilihali mshahara wake haufiki 18m kwa mwaka!

Unataka SGR ikamilike ili iwe NINI labda?
 
Unaandika ujinga kama sio takataka.Mahitaji ya Nchi hii sio Sgr ni Barabara.

Kwani Sgr inajengwa kuua sekta binafsi?

Wenzako wanakamatia fursa wewe unaleta majungu,hakuna mtumishi anategemea salary Bali mikopo na fursa zinazoleta pesa.

Mwisho kabisa mama alipandisha salary,madaraja,alifuta wizi wa Bodi ya Mikopo ,alipandisha posho na amerudisha seminars nk vyote hivyo vimeongeza pesa Kwa mtumishi na on top of that utitiri wa miradi umetupa fursa za kupata pesa zaidi.

Wilaya yangu Bajeti ilikuwa 1b na Sasa ni 4b wewe Kwa Yako unadhani utaongeza Bajeti ya kaiz bila Bajeti ya usimamizi? Samia ni namba nyingine
 
Kabisa mkuu, tungekuwa na umoja kama nchi bila shaka huu upumbavu unaoendelea tungekuwa tumechukua hatua kali sana dhidi ya genge dogo la wahuni ila kwa nature yetu na hali halisi ilivyo kwakweli inakatisha tamaa sana.
 
Watu wakiwajibishwa na kufilisiwa mali zao kila kitu kitakuwa bayana...wala sio kuogopana ni kawaida ya maccm kuiba na kupenda 10%ndio kunatufikisha hapa tulipo . Kwanza tujiulize mchina amefikia %ngapi na ubora wake wa Kazi upoje??
Kupayuka bila kuwataka ni fitina na uzushi wa kipuuzi
 
Mnatumia makalio kufikiri.75% ya mzigo unaenda Sadc ,hiyo 25% ndio inagawanyika kuanzia Uganda,Rwanda,Burundi,Malawi Sasa hao mafisadi wanawezaje kuhangaika na kusiko na mzigo waache kuhangaika na njia ya Tunduma?

Kuweni na akili,ndio maana mlidanganywa na Mwendazake kwamba alijenga Bandari ya Kasanga na Barabara Malori yataacha kwenda Tunduma 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu kama wewe nawafahamu vizuri sana, wapo wengi tu huku mtaani, majina yao marefu pia....lucas..........

POLE SANA MKUU
Kwa hiyo baada ya kuwafahamu ikakusaidia kuongeza kipato au?
 
Tangu lini CCM ikaanzisha mradi na kuukamilisha kikamilifu? Hawa majitu ni ovyo kabisa. Panaya wakubwa!
Mradi utakamilika ila hauna haraka, deadline yake ni 2030.

Mwisho Sgr sio kipaombele na baada ya kukamilika mjiandae maumivu maana huu ni mradi tembo mweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…