Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Kama imeshindwa kukamilika au ajulikani lini itakamalilika watuondelee huo uzio wa fence uliozuia watu wa pande mbili kuonana maana wamegawa mji pande mbili bila sababu yeyeto ya kujali pande mbili za reli Pana muingiliano wa asili hata kama ya reli
 
Great thinkers wa siku hizi ni shida kabisa. Wenzako wakiwa na tuhuma kama hizi huwa wanafunguka na ushahidi. Sasa wewe mwanzo mwisho unalalama na umbea na hisia zako za ki UFIPA. Hao Yapi Markezi waliposema Hawana fedha walieleza pia fedha hizo zilikuwa? Kwanini mada yako isingekuwa ni kuiomba tu ofisi ya CAG kufanya uchunguzi na sio kuja na conclusion kwamba fedha zimeibiwa bila ya kuwa na ushahidi. Bure kabisa
 
Magufuli alikuwa na zaidi ya milion 30, wafuasi wanao muamini kwa ufuatiliaji na usimamizi.

Je wanavyoona vitu vya ajabu vikifanyika mionyoni mwao wanawaza nini?

Kuna mgawanyiko mkubwa ambao nchi ikifika 2030 ikiwa mikononi mwa yule bibi , bongo itakuwa nchi ya kwanza africa kwa umaskini.

SGR hadi leo haijaanza hata kutoka Dar kwenda Morogoro?
Its shame!!
 
Sio mkandarasi hana fedha bali serikali haina fedha!
 
Si kweli kuwa mradi wa SGR una hali mbaya kihivyo.

Labda unapitia changamoto za kawaida za miradi mikubwa.

Miradi mikubwa dunia nzima huwa na changamoto zake, zingine ni kubwakubwa , haimaanishi kuwa changamoto hizo hazwezi kutatuliwa kwa namna moja nyingine.


Changamoto ambayo miradi mingi mikubwa ya Tanzania tutegemee kukukmbana nazo ni ucheleweshaji usioepukika kiwepesi kwa mfumo wetu wa Design Procurement and Build.

Mfumo huo inabidi tuwe na watu efficient sana wa kusimamia makandarasi katika hatua zote. Ikumbukwe kuwa malipo kwenye utaratibu huu huwa yanafanyika kwa kwanza makadirio halafu kwa au purchased na halafu as built.

Kuna uangalifu na umakini mkubwa sana hapo unatakiwa uwepo. Maana kipande kwanza mkandarasi na washauri wanalipwa kwaa makadirio, halafu kuna malipo ya vilivyonunuliwa, mara zote gharama huwa juu kuliko makadirio, na pakishajengwa, napo kuna malip ya as built.

Matokeo yake makadirio yanakuwa ya juu sana, ndiyi kwa mara ya kwanza Tanzania tunasikia kuna mabaki ya pesa nyingi za miradi. Nalo pia tatizo. Zikipunguwa tatizo na zikizidi Tatizo.
 
Wewe na unaowatetea wote wapuuzi
 
Wewe umemaliza kila kitu
 
This is unaccepatable huu mradi haiwezekan ukaachwa ukafa itakuwa loss kubwa ya takriban trillion 23+ sisi kama taifa hatuiwez hii hasara na fedhea
Utawafanya nini wamejiwekea kinga wasishitakiwe kwa maamuzi ya hovyo?
 
Tutamwambia Mungu amfukuze huyu maza lezafea kazi na atuletee mtu mwingine atakayesimama na WA Tanzania lakini asituue ila awe anafunga MAJIZI YOTE YA SERIKALINI!
 
Hata usipokamilika sawa tuu maana hauna faida yeyote.

Mwisho Kigogo anaongea ujinga kutaka kumtetea mkandarasi wa mchongo aliyefilisika.
Tuanzie hapo. Kama Yapi Markezi ni Mkandarasi wa mchongo, Kwanini alipewa kazi ilhali hana uwezo? Vigezo gani vilitumika mpaka akawashinda wengine wote?
 
Tuanzie hapo. Kama Yapi Markezi ni Mkandarasi wa mchongo, Kwanini alipewa kazi ilhali hana uwezo? Vigezo gani vilitumika mpaka akawashinda wengine wote?
Waulize waliomleta,unamuuliza nani? Kwani humjui Rais wenu wa Wanyonge na wapambe wake?
 
Potelea mbali, niliulaani huu mradi, kile kikampuni cha wachaga kilicho chini ya yepi kilimdhulumu mtoto wangu.

😎😎 Na bado mtafilisika na hayo mamikopo intawagharimu 😎😎
 
Walikuwa na uharaka gani kuweka fence kutenganisha mji pande mbili kuzuia watu pande mbili kuwasiliana angali wakijua bado ukamilikaji. Fence ilitakiwa iwe ni ishu ya mwisho kabisa na Sio hii ya kuzuia shughuli za kiuchumi
 
Walikuwa na uharaka gani kuweka fence kutenganisha mji pande mbili kuzuia watu pande mbili kuwasiliana angali wakijua bado ukamilikaji.
Fence ilitakiwa iwe ni ishu ya mwisho kabisa na Sio hii ya kuzuia shughuli za kiuchumi
Tumia vivuko rasmi hamkawii.kuanza.kunya hovyo maana Wabongo sio watu
 
Potelea mbali, niliulaani huu mradi, kile kikampuni cha wachaga kilicho chini ya yepi kilimdhulumu mtoto wangu.

😎😎 Na bado mtafilisika na hayo mamikopo intawagharimu 😎😎
Pamoja na kwamba sipendi huu mradi Kwa sababu ni burden kubwa Kwa Nchi na umesababisha kuchelewa sana Kwa maendelea ya sekta zingine but kazi inaendelea Wala hakuna kilichosimama japo Baadhi ya section kama hiyo ya Makutopora-Tabora inasua sua

View: https://youtu.be/zSauMyOI2eU?si=Nv33Urv32MnmP3Uu
 
Wameimba ngonjera ya kuanza kwa safari za Dar-Moro na yenyewe imebuma, haiwezekani nchi kuingia kwenye hasara ya matrillioni na watu wakaachwa wakikenua meno tu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…