Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Huyo sio RC material, tuulize cc Kanda ya kaskazini!Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Iringa ni mji wa hovyo ambao wafanya biashara wanauharibu mji..Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Si kweli mkuu...Ukiona Hadi wahehe wanakasirika ujue umechemka
Wahehe watu watiifu Sana
Taabu yao ukiwakasirisha wanaamua kujiua wao badala ya kumuua aliyewaudhi! Nafikiri wanyalukolo akili zao zimepinda! [emoji3525]Ukiona Hadi wahehe wanakasirika ujue umechemka
Wahehe watu watiifu Sana
Unajua huyu mkuu wa mkoa anajenga chuki sana kati ya wananchi na serikali hata lile zoezi lakuwatoa machinga mjini wakuu wote wa mikoa walishaagizwa na mheshimiwa Rais machinga watafutiwe maeneo wapangwe huyu mkuu wetu wa mkoa alichofanya yeye nikuwafukuza machinga mjini bila kuwatafutia maeneo vurugu zikatokea hakukuwa na sababu za kutumia nguvu kuwaondoa machinga wakati wenyewe machinga walisharidhia kwa kauli ya Mh rais kuondoka maeneo ya mjini watu wamechafukwa sana na hii serikali kwa maamuzi ya kijinga kama hayaIringa ni mji wa hovyo ambao wafanya biashara wanauharibu mji..
Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa.
Waliambiwa waende mlandege ndugu...Unajua huyu mkuu wa mkoa anajenga chuki sana kati ya wananchi na serikali hata lile zoezi lakuwatoa machinga mjini wakuu wote wa mikoa walishaagizwa na mheshimiwa Rais machinga watafutiwe maeneo wapangwe huyu mkuu wetu wa mkoa alichofanya yeye nikuwafukuza machinga mjini bila kuwatafutia maeneo vurugu zikatokea hakukuwa na sababu za kutumia nguvu kuwaondoa machinga wakati wenyewe machinga walisharidhia kuondoka maeneo ya mjini watu wamechafukwa sana na hii serikali kwa maamuzi ya kijinga
Mgomo wa leo ni sababu za kipuuzi kabisa kwanini utume wanamgambo tena usiku kuwanyanyasa wafanyabiashara wanaofuata utaratibu wa kulipa kodi
Wafanyabiashara wenye flame hapo Iringa mjini wengi wamejaa wakinga,wachaga na wabenaTaabu yao ukiwakasirisha wanaamua kujiua wao badala ya kumuua aliyewaudhi! Nafikiri wanyalukolo akili zao zimepinda! [emoji3525]
Haya Hayati Abbas Kandoro aliposafisha vibanda umiza katikati ya Mji 2006 akiwa RC Dsm wengi hatukumuelewaNimeona kwenye taarifa ya habari muda huu nyumba zimenyolewa 'kiduku' sijui waliondoa vibaraza wamefikiria nini.
Kumbuka ni hawara yake Njaa Kaya Kikwekwe.Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Watu wa yule Mzee wa msoga....Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
ATAENDELEA KUWA MZIGO MPAKA 2030Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Halima Dendego hajatunukiwa cheo. Amekitumikia kitandani. Huu unaitwa umalayat wa kisiasa. Mbona wapo wengi waliopata vyeo kutokana na huduma chafu.Hii yote ni athari ya kutunukiana vyeo kama zawadi na hongo badala ya kuangalia ufanisi na uwezo wa mtu katika utendaji.
Ndio hongo hiyo baada ya kuukatikia.Halima Dendego hajatunukiwa cheo. Amekitumikia kitandani. Huu unaitwa umalayat wa kisiasa. Mbona wapo wengi waliopata vyeo kutokana na huduma chafu.
Huyo ana chuki binafsi na RC.Waliambiwa waende mlandege ndugu...