Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe.

Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahiki siku hii ya leo.
 
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Huyo sio RC material, tuulize cc Kanda ya kaskazini!
 
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Iringa ni mji wa hovyo ambao wafanya biashara wanauharibu mji..

Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa.
 
Unajua huyu mkuu wa mkoa anajenga chuki sana kati ya wananchi na serikali hata lile zoezi lakuwatoa machinga mjini wakuu wote wa mikoa walishaagizwa na mheshimiwa Rais machinga watafutiwe maeneo wapangwe huyu mkuu wetu wa mkoa alichofanya yeye nikuwafukuza machinga mjini bila kuwatafutia maeneo vurugu zikatokea hakukuwa na sababu za kutumia nguvu kuwaondoa machinga wakati wenyewe machinga walisharidhia kwa kauli ya Mh rais kuondoka maeneo ya mjini watu wamechafukwa sana na hii serikali kwa maamuzi ya kijinga kama haya

Mgomo wa leo ni sababu za kipuuzi kabisa kwanini utume wanamgambo tena usiku kuwanyanyasa wafanyabiashara wanaofuata utaratibu wa kulipa kodi eti kisa kuondoa vibaraza ni utaratibu wawapi huu mkoa gani wanafanya haya
 
Unajua huyu mkuu wa mkoa anajenga chuki sana kati ya wananchi na serikali hata lile zoezi lakuwatoa machinga mjini wakuu wote wa mikoa walishaagizwa na mheshimiwa Rais machinga watafutiwe maeneo wapangwe huyu mkuu wetu wa mkoa alichofanya yeye nikuwafukuza machinga mjini bila kuwatafutia maeneo vurugu zikatokea hakukuwa na sababu za kutumia nguvu kuwaondoa machinga wakati wenyewe machinga walisharidhia kuondoka maeneo ya mjini watu wamechafukwa sana na hii serikali kwa maamuzi ya kijinga

Mgomo wa leo ni sababu za kipuuzi kabisa kwanini utume wanamgambo tena usiku kuwanyanyasa wafanyabiashara wanaofuata utaratibu wa kulipa kodi
Waliambiwa waende mlandege ndugu...
 
Taabu yao ukiwakasirisha wanaamua kujiua wao badala ya kumuua aliyewaudhi! Nafikiri wanyalukolo akili zao zimepinda! [emoji3525]
Wafanyabiashara wenye flame hapo Iringa mjini wengi wamejaa wakinga,wachaga na wabena
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari muda huu nyumba zimenyolewa 'kiduku' sijui waliondoa vibaraza wamefikiria nini.
Haya Hayati Abbas Kandoro aliposafisha vibanda umiza katikati ya Mji 2006 akiwa RC Dsm wengi hatukumuelewa

sasa hivi tunajivunia mandhari ya Jiji akiwa tayari mavumbini

hata Mzee Mkapa wakati anaanzisha NHIF pia hakueleweka sasa hivi tunaona faida yake akiwa kaburini
 
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Kumbuka ni hawara yake Njaa Kaya Kikwekwe.
 
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
Watu wa yule Mzee wa msoga....
What did you expect from them. Bogus, incompetent, inadequate, shallow 😠😡🤬
 
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa ni maamuzi ya kijinga sana ya mkuu wetu wa mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza yani cap za maduka ziondolewe migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahili siku hii ya leo
ATAENDELEA KUWA MZIGO MPAKA 2030
 
Back
Top Bottom