Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe.
Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahiki siku hii ya leo.
Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa amesababisha kero hii kubwa kwa wananchi kukosa mahitaji na serikali kushindwa kukusanya kodi stahiki siku hii ya leo.