Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Bunge bila Halima litaboa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
Uporaji ni pamoja na 'Kutamka mgombea ambaye hakushinda',huku akipewa kura za mwenzie! Hili wengi hawajui,ndio maana MEMBE alisema kuwa kazi ipo ngazi za chini wala sio kwenye majukwaa!Kwani si idadi ya wapiga kura inajulikana jamani, kukiwa na kura za wizi, basi idadi ya kura itakuwa nyingi kuliko wapiga kura walioandikishwa. wagombea wote walihakiki daftari la wapiga kura na wanajua idadi yake.
Ushindi ni 'Tamko 'sio lazima uwe umeshinda!!!Tofauti ni kubwa sana kiasi kwamba hata kama kulikuwa na irregularities...ni vigumu sana kujitetea au kupinga aisee
Pia hata wewe weka haya maneno akiba. Hakuna aliyeaapishwaa hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji28]Daaaah!! Ila Dunia inaenda Kasi Sana kutoka kuwandikia nyuzi za kutapisha uwanja Mara wapi kumefulika mpaka kuwaandikia maneno ya kuwafariji.
Sema Kupitia wewe wenzio watakuwa wamejifunza kitu Cha "kuweka maneno akiba"
Hiyo siyo kweli; ingekuwa kweli iwapo kulikuwa na wagombea wawili tu, ila Kawe kulikuwa na wagombea ubunge 16! Yaani mdee aibiwe kura laki moja na elfu sitini na mbili kweli na hao wengine 14 wote wakubaliane na wizi huo? Acha kujifariji!Uporaji ni pamoja na 'Kutamka mgombea ambaye hakushinda',huku akipewa kura za mwenzie!!!,hili wengi hawajui,ndio maana MEMBE alisema kuwa kazi ipo ngazi za chini wala sio kwenye majukwaa!!!
Walimu, Polisi, NEC, TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo. Nyie Polisi mmegeuka kama sio watz...nyie watu hamna utu
Sijaamini hadi Proffesor Jay wamempiga mtama 😂View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Pastor Msigwa atakula madhabahuni tu kuanzia sasa, ameshakula ngwala 😂Wakuu Iringa vipi kwa Pastor Msigwa ndugu wa mkuu
Shida ni kuwa hamna wapiga kura nyingi kiasi hicho huko kawe 😂😂😂 its over exeggerated!Hiyo tofauti ni kubwa sana kwa kutolea visingizio vya kuibiwa kura au kuwepo kwa kura za feki.
Nawewe unaamini kabisa kwamba idadi ya kura hizo 150k ni halisi. Inakuingiaje akilini yani? Kwanini kila kituo mpishano wa ccm na chadema uwe 3x au zaidi?Hata ukinitukana haibadilisi ushindi. Yaani mtu ashindwe kwa zaidi ya kura laki na nusu halafu ulete uwongo hapa wa watu kuletwa kutoka wiliya nyingine, yaani walikuwa kwenye dafatari gani. Kila mpiga kura namba yake inaandikwa kwenye ballot paper, kwa hiyo kama Mdee analalamika basi aombe recount kuhakiki namba za kwenye ballot paper na za kwenye daftari
👏👏🙏🙏🙏👏🙏🙏View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Alitukanwaje? Kwani uongo hakusema Ubunge ni kujishusha??? Hakutoa sauti ya ajabu kwenye ile konekisheni?Huyu Gwajima hakuna matusi ambayo hakutukanwa,ila akakaza ileile. Yule mtoto wa Dada angechemsha mapema Sana. Kwaheri sauti ya zege.