Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Hongera Gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.

Magufuli ni zao la kupinga kwao.
 
Kwani si idadi ya wapiga kura inajulikana jamani, kukiwa na kura za wizi, basi idadi ya kura itakuwa nyingi kuliko wapiga kura walioandikishwa. wagombea wote walihakiki daftari la wapiga kura na wanajua idadi yake.
Uporaji ni pamoja na 'Kutamka mgombea ambaye hakushinda',huku akipewa kura za mwenzie! Hili wengi hawajui,ndio maana MEMBE alisema kuwa kazi ipo ngazi za chini wala sio kwenye majukwaa!
 
Tofauti ni kubwa sana kiasi kwamba hata kama kulikuwa na irregularities...ni vigumu sana kujitetea au kupinga aisee
Ushindi ni 'Tamko 'sio lazima uwe umeshinda!!!
 
Daaaah!! Ila Dunia inaenda Kasi Sana kutoka kuwandikia nyuzi za kutapisha uwanja Mara wapi kumefulika mpaka kuwaandikia maneno ya kuwafariji.

Sema Kupitia wewe wenzio watakuwa wamejifunza kitu Cha "kuweka maneno akiba"
Pia hata wewe weka haya maneno akiba. Hakuna aliyeaapishwaa hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Uporaji ni pamoja na 'Kutamka mgombea ambaye hakushinda',huku akipewa kura za mwenzie!!!,hili wengi hawajui,ndio maana MEMBE alisema kuwa kazi ipo ngazi za chini wala sio kwenye majukwaa!!!
Hiyo siyo kweli; ingekuwa kweli iwapo kulikuwa na wagombea wawili tu, ila Kawe kulikuwa na wagombea ubunge 16! Yaani mdee aibiwe kura laki moja na elfu sitini na mbili kweli na hao wengine 14 wote wakubaliane na wizi huo? Acha kujifariji!
 
Ni watumishi karibu wote kwa asilimia kubwa, kuna hospital nafanyia kazi wafanyakaz wanaimba CCM tu.
Walimu, Polisi, NEC, TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo. Nyie Polisi mmegeuka kama sio watz...nyie watu hamna utu
 
Tunatoka KWENYE chama Cha mapinduzi."CCM"
Tunaingia kwenye chama Cha KIFALME "CCK"
 
Hiyo tofauti ni kubwa sana kwa kutolea visingizio vya kuibiwa kura au kuwepo kwa kura za feki.
Shida ni kuwa hamna wapiga kura nyingi kiasi hicho huko kawe 😂😂😂 its over exeggerated!
 
Hata ukinitukana haibadilisi ushindi. Yaani mtu ashindwe kwa zaidi ya kura laki na nusu halafu ulete uwongo hapa wa watu kuletwa kutoka wiliya nyingine, yaani walikuwa kwenye dafatari gani. Kila mpiga kura namba yake inaandikwa kwenye ballot paper, kwa hiyo kama Mdee analalamika basi aombe recount kuhakiki namba za kwenye ballot paper na za kwenye daftari
Nawewe unaamini kabisa kwamba idadi ya kura hizo 150k ni halisi. Inakuingiaje akilini yani? Kwanini kila kituo mpishano wa ccm na chadema uwe 3x au zaidi?
 
Aiiii madam boss Halima si ushakula ya kutosha, achia na wengine basi hahaaa

Referendum ikifanyika ubunge uwe vipindi viwili kama urais.

Per now waconcede deafeat maisha yaendelee.
 
Mezani Fc sasa hadi hakuna jipya wao wenyewe wameacha kushangilia! Masikini mnakumbuka huyo mchungaji tapeli alipigwa swali linalohusu bei ya sukari tu kipara chote jasho sasa hilo ndio bunge la kifalme lijalo la kulala na kuamka kugonga meza ndio ndio ! Zidumu fikra za Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom