Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Hii thread imepigwa mande au mtungo. Inatambaa kwa urefu ma ID chache ila zinaushirikiano balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida Mdee hana chake alitakiwa amuige Mnyika maana Mnyika alisoma uelekeo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mtoa hoja, kwa hiyo unataka kusema unamtosa Mdee na kumchagua mcheza movi za unoooo..... say unoooooo !!!
 
99.7% IDs za mreta mada na wapambe wamapimbio wame join JF sept 2020 , your very foolish negotiate na JF staff ili wafanye back date kama its possible..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] otherwise nasema Magu trouser kwenye magoti itatoboka tuu hamuna hoja za msingi to convince electorates
 
Kuna harufu ya waumini wa Banda la mbuzi humu![emoji125][emoji125][emoji125]
Acha kudhalilisha wakristo umetumwa na halima kwa kuwa yeye ni mwislamu uite kanisa banda la mbuzi sisi tukiita msikiti banda la nguruwe utajisikiaje
 
Acha ushamba ile n Ishara ya unyenyekevu sasa mnajidanyanga kuwa Lisu atashinda pole yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamtaamin tar 28 ila hamchelewi kusema uliibiwa kura maana ndo zenu

Lisu hawez kushinda ni sawa kabisa
But at least magufuli kaoneshwa kwa vitendo kuwa % kubwa ya watu hawamkubali

Tofauti na nyie mlivyokuwa mkimdanganya
 
Mkuu kwanini unaandika uzi alafu unajibu kwa multiple IDs
Screenshot_2020-10-01-16-11-31-1.png
Screenshot_2020-10-01-16-11-18-1.png
Screenshot_2020-10-01-16-10-52-1.png
 
Back
Top Bottom